Umri ni 18 mvulana na sehemu inayosumbua ninyuma ya goti la mguu wa kushoto,shida inayosumbua ni mguu nikiunyoosha unanyooka kwashida make kuna mfupa nyuma yagoti wa mguu wakushoto unasikika ukilia"guu".Daktari walinipa dawa na clip bandage ambapo nilitumia miezi2 nikaacha tangu 2010 mpaka sasa.