Liverpool VPN
JF-Expert Member
- Aug 29, 2020
- 6,958
- 16,358
Pfunk ana beat nzuri zenye mastering nzuri ila sidhani kama ataweza kutoboa kwa kizazi cha sasa. Kuna interview moja nakumbuka alisema we fanya beat kokote huko kwa akina s2kizzy ila mletee akufanyie mastering maana yeey anaamini hakuna producer TZ anafanya mastering kuliko yeye.Hebu sikiliza hizi ngoma mbili kwenye Sabufa, music system au whatever yenye Base la haja..!!
1. Vile Nataka Demu Ft. Mabantu
2. Nyumbani Ft. Wanangu 99 & Baba levo.
Hoya P.Funk karudi..!!
P.Funk arudi mazima ili aishitue kidogooo Bongo flavour..!!!
Ni P.Funk Majaniiii kwenye moja na mbili tenaaaa..!!!!
#YNWA
s2kizzy tumbo linamuuma huko na maneno mbombofu aliyoongea juzi juziHebu sikiliza hizi ngoma mbili kwenye Sabufa, music system au whatever yenye Base la haja..!!
1. Vile Nataka Demu Ft. Mabantu
2. Nyumbani Ft. Wanangu 99 & Baba levo.
Hoya P.Funk karudi..!!
P.Funk arudi mazima ili aishitue kidogooo Bongo flavour..!!!
Ni P.Funk Majaniiii kwenye moja na mbili tenaaaa..!!!!
#YNWA
Hawezi kumwaza p funk kwa sasa sio tishio tena, music industry imebadilika sana kina p funk hawawezi kueleweka na Hawa watoto wa 'nikilewa nakua mtamu's2kizzy tumbo linamuuma huko na maneno mbombofu aliyoongea juzi juzi
Huyo mwamba achana nae weka mbali na watotoKila zama na kitabu chake, hata Dr Dre is no more.
Wakati wake umeshapita.Hebu sikiliza hizi ngoma mbili kwenye Sabufa, music system au whatever yenye Base la haja..!!
1. Vile Nataka Demu Ft. Mabantu
2. Nyumbani Ft. Wanangu 99 & Baba levo.
Hoya P.Funk karudi..!!
P.Funk arudi mazima ili aishitue kidogooo Bongo flavour..!!!
Ni P.Funk Majaniiii kwenye moja na mbili tenaaaa..!!!!
#YNWA
Ukweli mchungu, afanye kwa hobby tu.Wakati wake umeshapita.
Sio rahisi kutoboa kwa sasa.
P Funk alikua na beat mbovu? Au sijaelewa?Jamaa alikuwa ana beat mbovu balaa enzi za bongo fleva ya mwanzo. Labda kwa sasa atakuwa ame improve. Atakumbana na ushindani mkali toka kwa maprodyuza wa kisasa wa kibongo
unamfahamu linduPfunk ana beat nzuri zenye mastering nzuri ila sidhani kama ataweza kutoboa kwa kizazi cha sasa. Kuna interview moja nakumbuka alisema we fanya beat kokote huko kwa akina s2kizzy ila mletee akufanyie mastering maana yeey anaamini hakuna producer TZ anafanya mastering kuliko yeye.
dree mtu mbadi sanaaaaKila zama na kitabu chake, hata Dr Dre is no more.
Upo serious au??Jamaa alikuwa ana beat mbovu balaa enzi za bongo fleva ya mwanzo. Labda kwa sasa atakuwa ame improve. Atakumbana na ushindani mkali toka kwa maprodyuza wa kisasa wa kibongo
ninayo album ndio maana nikapost uzi.Mbona katoa kitambo kwenye Album yake au ndio umeziotea leo ?