Ludigo hakuwa vizuri kwenye instruments(hasa keyboard)
MJ yeye hasa alitengeneza kazi nyingi miaka ya 2000 kurudi chini(albums za Mr2, LWP, BDP,Kwanza Unit) , kipindi ambacho tech haikuwa kubwa kivile, beat imejaa kick na snare, hakuna basslines, hata kwa Majani ni ivyo ivyo, 'vinanda/magitaa' hakuna
miaka ya 2000 kuja juu, uingizo wa mashine mpya mpya za Studio, MJ akawa anawaachia kazi kina Marlon, Ludigo, Marijani, etc
yeye anafanya kazi baadhi baadhi siyo album , baadhi ya producers(Mahundi) wakawa wanafanya mastering kwake (MJ ndiyo ana master demos)
cheki hizi hapa kazi za Master Joachim (beat ikiwa na kinanda/keyboard ndani)
View attachment 2989453
View attachment 2989452