Oya masela, P. Funk yulee amerudi!

Hizi biti zote unyama😂 haswa hio nikilala naota. Ina bassline moja matata sana. Huwezi isikia kama una sound ya kirataa 😂
 
Nenda kwenye jukwaa la kilimo au mapishi,hujui mziki wala humjui Legendary Pfunk.
Mnatetea nini, miaka yote tangu bongo flavour ianze mshua huyu ndiye alikuwa producer mchovu kuliko wote wa enzi hizo. Beat zake nyingi ni mbovu
 
Kuna jamaa alikuwa anaitwa chizanbrain alikuwa poa sema uraibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…