Oya Mwanenu mapenzi yanataka Kunitoa Roho

2M na huna baskelo? Hi ni chai
 
Pole mkuu

Kosa lako umempenda malaya bila kujua, nilishawai kumpenda malaya, nilipokuja kugundua kuwa dem ni malaya kujinasua ilikuwa issue, yani ukweli unaujua kwamba huyu ni malaya, nikae nae mbali lakini ukikumbuka zile moments, tabasamu lake, kanavojibebisha na mazagazaga mengine basi ni kumuwaza tu, mda wote, yani ukifanya hiki unamuona yeye tu, ikipita boda imebeba dem unahisi ni yeye, night umuone mshkaji na dem wake unahisi ni yeye[emoji28]

Mi hapo sikulaumu mkuu, we upo sahihi kabisa, akili haiwezi kukubali haraka hivyo, yani unaelewa kwamba Kuna wazuri zaidi yake lakini moyo umemzoea unaamin hakuna wa wakuyafanya ayafanyayo, upendo wa ajabu sana[emoji28]



Utamsahau lakini itachukua muda

-Usimfatilie, kuanzia mitandaoni mpaka mitaani

-Hao jamaa zako waambie kabisa hutaki story za huyo dem

-Kama sio mtu wa mazoezi fanya hata kukimbia ile jion huwa inatoa uchungu

-Jilazimishe kula bro[emoji23], utakuja ufe kisa malaya mmoja

-Jilazimishe utimize majukum yako kazini, usijekujiaribia kisa malaya mmoja mpita njia

-Nenda maeneo ambayo utakutana na wadada wengi wengi, automatically utagundua there is a lot of them out there

-Usitafute dem mwingine haraka ili mtumie kumsahau huyu malaya, hapo utajidanganya

-Kwa huu muda wasiliana sana iwe Kwa simu au ana Kwa ana na mtu unaedhani anakutegemea au mtu ambaye hapendi kukupoteza Kwa Mfano mama ako mzazi, hii itakusaidia kujua kwamba unamajukum mengi ya muhim na watu wanakuitaji ko uhitaji kusumbuliwa na hako kamalaya

-Mwisho issue mpaka inaathiri mawazo, Kula na kazi zako ni issue kubwa mshikirikishe mungu wako

N:B: Itachukua mda bro ila utakuwa sawa now focus kumsahau, sema next time kuwa strictly bro, unaingiza 2M, dem anataka 1M unampa? bro wtf?[emoji28], au ndo kwakua mimi sina hela, usihurumie wanawake kama anavosemaga herikiel, all the best [emoji120]
 
Pole sana...
 
Pole kaka.... dah....
 
 
Ndio huyu?
 
Kwa ulivyosimulia, uko kwenye mtihani mgumu sana maana ushatekwa akilini na hamna ushauri wowote wa kukusaidia zaidi ya wewe kuamua kusonga mbele na maisha yako, huyo atakutesa sana tena hapo ni mwanzo tu, epuka hilo shari maana bado una muda.
 
Changudoa mnateteana
 
We ni mjinga wa kutupwa
M nishawaambia uzinzi hauna faida zaidi ya hasara we m.ke ushamuona huko anajiuza ety bdo nampenda pumbavu kabisaaa
Ayo uloyapata umejitakia mwenyewe
Saivi akili itakukaa sawa

Kwanini usioe kijana ?
2M ety kwanini usioe kazi kujitia stress zisizo na mfano
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…