Oya Mwanenu mapenzi yanataka Kunitoa Roho

Mwanamke akikuacha sometimes sio kwamba amepata mjanja zaidi yako sometimes huwa amepata bwege zaidi yako imagine mwanamke anaomba hela ww unamzungusha ila mwenzako anatuma na ya kutolea huo si ubwege huo na wanawake wanapenda wanaume mabwege kila kitu anachomwambia hapingi yaani hapo mwanamke anasahau kila kitu.
 
I feel You Bro ,ili uwe successful inapaswa at least upate heartbreak moja matata hio sasa utachagua ikujenge au ikudestroy ….Najua sio rahisi kabisa lakini jaribu tena una kazi kua busy sana halafu usirudie tena kuwa na demu mmoja hakikisha una wawili halafu divide upendo ..You are the prize King don’t let these selfish women of our generation ruin ur life ✊🏿
 
Chunguza kwa makini sana iyo supamaket siyo ya kwake, apo tayari moja ushapigwa, keshakuona wewe boya lofa fulani ivi, mbili iyo ushapigwa, keshachukua pesa ako tatu iyo ushapigwa. Ushaletewa maushaidi ni mraka anajiuza wewe bado unang’ang’ania tu ngoja upewe maukwimi ili ufe kabisa pumbavu.
Nakazia
 
Kaza roho wewe ni mtoto wa kiume, alafu mambo kama hayo ni yakawaida sana kwa mwanaume, acha kulia lia, Vile unazid kumtafuta ndo unamsongeza mbali zaid, piga kimya kama haujui Maisha yenye mafupi sana haya.
 
Be a man and let it be known.

Tambua na fahamu wako wazuri sana kuliko yeye na chochote unacholiona kwake wako navyo 10x. Mwanaume wewe unathamani kubwa sana usikubali yeye akufanye kujiona dhaifu.

Unanafasi nzuri sasa ya kujifunza na kufahamu juu ya wanawake. Lakini ni nafasi nzuri ya kujifunza juu ya wewe ni nani na wajibu wako kama mwanaume. Amka mdogo wangu aliyekupa kisogo mwache aende sio mkeo huyo

Kasome hii uache kulialia bwa mdogo
1 Wafalme 2:2

mwamba anatuaibisha sana
 
Daaah wanangu, Mwenzenu niko Hoi hapa Nilipo! Sina Usingizi, wala Siwezi hata Kula. Nimekuwa Fara Kinyama Kisa Mapenzi.

Ngoja Niwape Hii stori kwa Ufupi.

Kuna Dem mmoja, nilikutana Naye Supermarket, (ilikuwa Mwezi wa tatu 2022) nilimpenda na kumfungukia Hisia zangu, akawa Amenipa Namba!! Tukaanza Kuwasiliana.

Kumbe Ile Supermarket ni yake (nina uhakika maana alifunguliwa na mzee wake). Me aikujali wala nini sababu nina Kipato changu, nimeajiliwa Mahari. Nalipwa Kama 2 Mil.

Kweli Mwanzo Mapenzi yalikuwa Matamau sana, Tulikuwa tunaonana mara kwa Mara, tunachat na kuongea san, na alikuwa hana Hiyana Game alinipa La kibabe sana. Wazee mapenzi yalinikolea Vibaya Mno!! Nikaona Nimepata Dem wa Maana.

Baada ya miezi miwili...!!!
Siku moja mwanangu mmoja Ofisini, akanidokeza Jambo ambalo lilinishitua sana. Mwana Aliniletea Simu yake ambayo alikuwa ndani ya Mtando wa malaya Unaitwa Tagged, akaniambia Mzee embu angalia demu wako ambavyo hajatulia.

Mwana alikuwa amechati naye, na Kumtongoza kabisa, na Dem alikuwa anaelekea Kukubari ila alitaka kwanza waonane na Mwamba lakini pia alimpa namba yake ya simu ambayo nayo hiyo ilikuwa ni ile ile ya Dem, nilipoicheki( Mwamba hakuqa ameweka Picha yake!)

Daaah!!! Iliniuma Sana, ikabidi nichukue screen shot na Kumtumia Dem!!
Dem alikana Balaa na Kusema Kuna watu wanamchezea na wanataka Kutuvuruga. Sikumwambia kama Alikuwa anachati na Rafiki yangu. Alinifata hadi ofisini kuomba radhi na Kunisih nisiamini maneno ya watu.

Niliamua Kupotezea Tu wakuu.. si wajua Uanaume ni kazi. Ile account ikawa Imefutwa kule faster. Baada ya Muda wa Mwezi kama mitatu Tena, jamaa mwingine aliniletea tukio kama lile la mwanzo, daaah!! Hapa nilichoka zaidi na ukizingatia Dem namuelewa kinoma aisee!!

Nilitaka niachane naye kimya kimya, nikimuona kama ni malaya asiyejielewa!! Lakini nilishindwa kabisa. .... niliamua tena kumuuliza kuhusu jambo hili, lakini na wakati huu alikataa pia na account ikafutwa.

Maisha yakaendelea, baada ya mwezi alipata Shida ya kama sh. 1 mil. , Akawa aneniomba, mimi nilimwambia kiukweli sitaweza kukupa hiyo pesa sababu ni nusu ya mshahara wangu mzima lakini pia umeiomba leo na unaitaka leo.... ila nilimwambia nitakupa nusu nusu..

Demu alikausha akasepa, ikawa nikimpigia mara nyingi hapokei na akipokea anaongea kwa mkato sana! .... lile jambo lilinisumbua kwa kama wiki hivi nikaamua kumchana live tuachane akawa amekubari.

Baada ya wiki mbili aliwafata washikaji na kuomba samahani kwa kile kilichotokea. Wana wakaja kuniambia na Vile nilikuwa nampenda nikamsamehe maisha yakaendelea...

Nikawa nimemeahidi ile pesa aloomba kwakuwa aliamua kuikopa (alinambia hivyo) basi mimi nitamrejeshea taratibu kwa kumpa laki tano tano kila mwezi kwa miezi miwili.

Basi, mwez wa kwanza mambo yalikuwa mengi nikawa nimempa laki 4 tu. Nikamwambia mwezi ujao nitampa 6 ilobaki ili akamalizie deni. Akakubari na kusema ameweka juu laki moja so imekuwa tano akalipa.

Mwezi ulopita Ofisini walifanya ubwege wa kuchelewesha mshahara, ile tarehe ua demu kumpa hela ikafika lakini sina pesa. Nilijaribu kumwambia hali halisi, lakini akawa haelewi, kila siku anaulizia pesa...

Mazee, ilikuwa tarehe za mwanzo wa mwezi huu, aliamua kwenda kufunga mzigo, ila kila siku lazima aulizie pesa, na mimi nilkuwa bado sijapata...
Demu alichukia na kunitumia sms kuwa anajiona kama mwenye mikosi kila akitaka msaada toka kwangu anafeli ( ikumbukwe aba Supermarket, na ana drive gari kali, mimi sina hata baiskeli).

Keshoye nilimtumia Voice note, kumueleza hali ilivyo, na vile nilitarajia yeye angenielewa na kunishika mkono katika kipindi hiko!!

Aisee, voice note ilizua balaa!! Ugomvi ukawa mkubwa, ikabidi nionbe radhi lakini wapi...

Tukachuniana kama wiki hivi hatuongei, nikaja kumtafuta ili mambo yaishe akanikataa, nakunambia sifai kuwa nae!!

Niliumia sana, lakini nikajipa tumaini la kusonga mbele!! Jana akaja rafiki ake katika Stori, akanambia Amemuona Zaidi ya week yule dem anazurula na mwamba Mmoja Hapa mjini japo wanakaa Sehemu za Maficho..

Kwa Kweli imeniuma sana, coz nilikuwa nampenda na nimejitolea sana Kwake, kuanzia muda wangu, hadi jasho langu!!!

Lakini mwisho wa siku kaamua Kunitenda Kibwege sana.... kila Nikijaribu kumfuta Akilini wanangu, naona Kama naelemewa, sijui nilimpendaje Kifara namna hii....

Nimekwama hapa chakula hakipiti, kazi haziendi na sitaki kumrudia. Sijui nifanye nini
Mazeee.
Niliwahi kumkuta mke kabisa wa kaka yangu(Shemeji) kwenye mtandao wa Tinder anasaka hookups....hadi Leo sijawahi mwambia bro wala shemeji niliishia kuchoka tu
 
Kula chakula wewe acha hizo
 
Know your value bro... what is your purpose in life? Yani wewe huna watu wanakuona wa muhimu kuliko uyo kilaza? Temana nae hakuna aliezaliwa kukupa pumzi ya uhai
 
Acha uboya nenda kamuue huyo demu ndo solution ya hayo maumivu yako na ukishamuua utakula vizuri sana
 
Pole sana mkuu mana ulimpenda malaya

Pia shukuru Mungu tu maana kakutoa mapema

Yangekukuta makubwa sana zaidi ya hayo
 
Mkuu mimi sikushauri chochote, nikuambie kwanini? Kwa sababu inapofika point ya breakup ni wewe na moyo wako, nina experience na hiyo situation... Maelfu ya watu yanaweza yakakushauri uachane na huyo dem ila kamoyo kako kakajakuwapuuza wote, Na hapo ndo hufika ile stage watu husema "Kalogwa nini" Maamuzi ya mwisho ni wewe mwenyewe kuamua unapandisha vioo au unashusha, Mimi ilifika stage nimeshashuhudia kabisa huyu dem kaliwa jana na still i was ready to forgive her lakini baadae nilijitafakari mimi na maisha yangu kiujumla... Kwamba ni kweli kabisa nimependa huyu malaya kuzidi hata Mungu wangu anaeruhusu nione haya anayonifanyia last word ilikuwa "Oi we malaya nimenawa mikono, jus go" then hatua iliyofuata nilifuta kumbukumbu zake zote kuanzia pics, messages, namba na sikutaka hata kuzikariri kabisa, nikablock yaani nilifagia kila takataka then nikapitia almost kama mwezi hivi na huzuni kama naomboleza ila nilikubali maumivu ya weeks kadhaa kuliko mateso yasiyo na mwisho and final I'm here, life goes on unaambiwa... Mungu wangu huyu hapa ananiona yule dem hata niwe na ugwadu wa mwaka nikifungiwa room moja na yeye anatoka kama alivyoingia yaani nimepoteza hisia kabisa namuona kama Mashudu.

Pusi hazina huruma.
Uko sahihi, kuna wakati unaweza dhania umelogwa kumbe wapi, lakini uzuri ni kwamba akishaondoka moyoni ameondoka moja kwa moja.
 
Back
Top Bottom