Oya Mwanenu mapenzi yanataka Kunitoa Roho

Mwanamke akikuacha sometimes sio kwamba amepata mjanja zaidi yako sometimes huwa amepata bwege zaidi yako imagine mwanamke anaomba hela ww unamzungusha ila mwenzako anatuma na ya kutolea huo si ubwege huo na wanawake wanapenda wanaume mabwege kila kitu anachomwambia hapingi yaani hapo mwanamke anasahau kila kitu.
 
I feel You Bro ,ili uwe successful inapaswa at least upate heartbreak moja matata hio sasa utachagua ikujenge au ikudestroy ….Najua sio rahisi kabisa lakini jaribu tena una kazi kua busy sana halafu usirudie tena kuwa na demu mmoja hakikisha una wawili halafu divide upendo ..You are the prize King don’t let these selfish women of our generation ruin ur life ✊🏿
 
Nakazia
 
Kaza roho wewe ni mtoto wa kiume, alafu mambo kama hayo ni yakawaida sana kwa mwanaume, acha kulia lia, Vile unazid kumtafuta ndo unamsongeza mbali zaid, piga kimya kama haujui Maisha yenye mafupi sana haya.
 

mwamba anatuaibisha sana
 
Niliwahi kumkuta mke kabisa wa kaka yangu(Shemeji) kwenye mtandao wa Tinder anasaka hookups....hadi Leo sijawahi mwambia bro wala shemeji niliishia kuchoka tu
 
Kula chakula wewe acha hizo
 
Know your value bro... what is your purpose in life? Yani wewe huna watu wanakuona wa muhimu kuliko uyo kilaza? Temana nae hakuna aliezaliwa kukupa pumzi ya uhai
 
Acha uboya nenda kamuue huyo demu ndo solution ya hayo maumivu yako na ukishamuua utakula vizuri sana
 
Hongera zako ww ulipenda kwa asilimia 100, wenzako wanapenda kwa asilimia 50
 
Pole sana mkuu mana ulimpenda malaya

Pia shukuru Mungu tu maana kakutoa mapema

Yangekukuta makubwa sana zaidi ya hayo
 
Uko sahihi, kuna wakati unaweza dhania umelogwa kumbe wapi, lakini uzuri ni kwamba akishaondoka moyoni ameondoka moja kwa moja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…