Oya Mwanenu mapenzi yanataka Kunitoa Roho

Kosa lako ulimsamehe kwa kosa ambalo kweli kabisa unajua alifanya na tabia yake mbaya uliijua mapema na bado ukaambatana naye sasa amekugeuzia kibao wewe, katika uhusiano bora uache kuliko kuachwa hata kama mtu humpendi lakini usikubali akuache wewe, itakuma tu
 
Umemshauri vzr ila hapo mwisho ukaharibu🤣🤣🤣
 
Umemshauri vizuri. Scenario kama hizi unaona kabisa ni za uongo.

Tukio kama hilo bado unamfata fata wa nini?

Wanaume wengine wa
Hovyo sana.
Shida ni kwamba ukimpenda mtu huwezi kumbadilisha kiurahisi rahisi tu.
Wala musimlaumu kwani mtu 'akipenda chongo huona kengeza' waswahili wamesema
 
[emoji16] [emoji16] [emoji16]
 
Ww umekutana na malaya high classic,hio supermarket ndio ofisi yake ya kudangia,hapo kwako alikua anafuta kuwa na mahusiano permanent lkn biashara yake ya ukahaba iendelee lkn akagundua ww una wivu nae na kumfuatilia wakati huna msaada wowote kwake zaid ya show za kibabe,ameamua kukufanyia visa tuu ujue wewe sio level yake
 
Mapenzi ni ushost ukiwa hauna faida jikatae, kinachokuliza hapo ulibahati zari la mentally demu ambae ana vibe level sio zako, sema aliona kitu kwako 2M ni pesa ya kufanya ujanja wa kawaida kama kuhonga Laki hadi Laki 2 , rule of thumb na hapo Kwa mwanamke ambaye umempima haswaa.

Kila ushamba una mwalimu wake Sasa endelea kusoma hizo lecture notes.

Next episode utajua level zako.
 
Jamaa anajua kabisa anamiliki malaya halafu anakuja hapa kulialia,

Marehemu Ruge alisemaga ogopa Mungu na mtandaon
 
Kata MAWASILIANO nae kama ni namba FUTA, block chochote kitakacho kukumbusha memory.....

Najua utapitia bonde la uvuli wa mauti lakini be strong baada ya hili utakua strong....

Wengine tumesha kua ma heartless hatupendagi ivyo kifala....Kuna wanawake wengi Tena wazuri 10x

Ukishindwa utanambia nikusaidie SaLa ya kuwatoa Ma Ex moyoni.....

Wew ni wamuimu sana jikaze...Kwanza mwanamke akikupenda hawezi kukusumbua hata ukiwa huna pesa....

Kwa Sasa naishia hapo
 
Hio "sijui nifanyaje" ndo itakutesa sana achana nayo na uendelee na life yako bila kuwaza cha kufanya. Taratibu utaona mambo yanakua normal
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…