we jamaa umesoma chuo kipi?
Hongera msomi.Mambo vipi masela na wazee wa kale?Mimi sio mgeni humu ndani.
Nimekuwa nafuatiliaga sana nyuzi za watu mbalimbali, leo nimekuja kuwapa chagamoto na elimu juu ya mambo balibali ya maisha.
Kifupi mimi ni msomi wa chuo kikuu nina maisha yangu mazuri tu.Napenda kuwapa vijana elimu juu ya mambo mbalimbali ya maisha.
Hivyo ndugu zanguni mkae chonjo niwape mavitu ya ukweli.
Asanteni sana sana sanaaaa.
Asante uliyekerebishs.mugu akubaliki kaka
Mkuu kajifunze kwanza kiswahili.Memaliza tayali blaza.muda tu
Msomi uandishi huu baki nao facebookMemaliza tayali blaza.muda tu
Mbona maandishi yako unaandika kama una mafua? Wanafunzi wataelewa?Mambo vipi masela na wazee wa kale?Mimi sio mgeni humu ndani.
Nimekuwa nafuatiliaga sana nyuzi za watu mbalimbali, leo nimekuja kuwapa chagamoto na elimu juu ya mambo balibali ya maisha.
Kifupi mimi ni msomi wa chuo kikuu nina maisha yangu mazuri tu.Napenda kuwapa vijana elimu juu ya mambo mbalimbali ya maisha.
Hivyo ndugu zanguni mkae chonjo niwape mavitu ya ukweli.
Asanteni sana sana sanaaaa.
Asante uliyekerebishs.mugu akubaliki kaka
Karibu na Stanford Bridge. Napajua [emoji41][emoji855]Stanford University