Oyaa! Nimekuja kuwashika kinyamaa

Oyaa! Nimekuja kuwashika kinyamaa

Guru Guja

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2019
Posts
217
Reaction score
285
Mambo vipi masela na wazee wa kale? Mimi sio mgeni humu ndani. Nimekuwa nafuatiliaga sana nyuzi za watu mbalimbali, leo nimekuja kuwapa chagamoto na elimu juu ya mambo balibali ya maisha.

Kifupi mimi ni msomi wa chuo kikuu nina maisha yangu mazuri tu. Napenda kuwapa vijana elimu juu ya mambo mbalimbali ya maisha.

Hivyo ndugu zanguni mkae chonjo niwape mavitu ya ukweli.

Asanteni sana sana sana.

Asante uliyekerebisha Mugu akubariki kaka
 
Karibu sana msomi wetu utuelimishe sisi tuliokimbia umande.
 
Mambo vipi masela na wazee wa kale?Mimi sio mgeni humu ndani.

Nimekuwa nafuatiliaga sana nyuzi za watu mbalimbali, leo nimekuja kuwapa chagamoto na elimu juu ya mambo balibali ya maisha.

Kifupi mimi ni msomi wa chuo kikuu nina maisha yangu mazuri tu.Napenda kuwapa vijana elimu juu ya mambo mbalimbali ya maisha.

Hivyo ndugu zanguni mkae chonjo niwape mavitu ya ukweli.

Asanteni sana sana sanaaaa.

Asante uliyekerebishs.mugu akubaliki kaka
Hongera msomi.
 
Mbona maandishi yako unaandika kama una mafua? Wanafunzi wataelewa?
 
Leo siku ya Pili mkuu hujashusha madini kabisa...Tatizo bando tukuchangie au vipi kamanda!!
 
Back
Top Bottom