lucky lefty
JF-Expert Member
- Feb 16, 2017
- 491
- 454
Kwa mara ya kwanza nchini Zanzibar, Kampuni ya OYAA TECHNOLOGIES LIMITED Imetuletea wakazi wa Zanzibar huduma ya Taxi al maarufu kama OYAA TAXI.
Mfumo huu ni kama mifumo mingine iliyozoeleka huko Bara na duniani kwingine kama Taxify,Ping na Uber.
Ni huduma ya nafuu na haraka hasa ukizingatia nchini Zanzibar foleni sio tatizo kama sehemu zengine.
Huduma hii ilianzishwa mwaka jana 2018 lakini ikiwa kwenye research zaidi, Mwaka huu 2019 ikawa launched official pale Hotel Verde.
Mteja anatakiwa kudownload app ya Oyaa kwenye Google Play kwa watumiaji wa Android Phones na kwenye App Store kwa iPhone users. Mteja atajisajiri kama kawaida ndani ya dakika mbili anaweza kuita Taxi ikaja hadi mlangoni kwakwe.
Unaweza kutembelea page zao huko Instagram @OYAATAXI na Facebook @OyaaTaxiZanzibar
Au website yao www.oyaa.africa