"Oyaa, unabisha, nitakutungia sredi JF mimi.." Je, ulishawahi?!

Steve Dii

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2007
Posts
6,402
Reaction score
1,273
Je, ulishawahi kuwatishia washkaji kuwa utawaandika hapa JF?!

Mi kuna jamaa very close, ambao tumejuana hapa JF and some outside JF enclosures... basi every now and then tukiwa tunapiga story, pale tunapoanza kubishana mambo fulani hivi, though in a friendly way, kitu cha kwanza nikitaka kuwakata stimu basi gia huwa - " ooya, unajifanya mbishi siyo? Nitakutungia sredi JF mimi"... washkaji wakisikia hilo inabidi wanywee njwiii...

Je, nawe unatumia JF kama kiboko au karata turufu ya kunyamazisha washikaji??!! :biggrin1:
 
Mhhh...hii mpya!!

Kwahiyo wanaogopa kujadiliwa JF au inakuaje?!
 

Kwa sababu mnabishana na unawakata stimu in a friendly way, basi fahamu hata kunywea wananywea IN A FRIENDLY WAY
 


Angle yako kiboko.... Saturday ya leo thread zilikua za pekee sana naona... haya nasubiri wanasemaje GT...
 
Angle yako kiboko.... Saturday ya leo thread zilikua za pekee sana naona... haya nasubiri wanasemaje GT...

Wee Asha wee, ni mangapi umeandika indirectly hapa yanayohusu washkaji??! ... !! just be candid on this...
 
Wee Asha wee, ni mangapi umeandika indirectly hapa yanayohusu washkaji??! ... !! just be candid on this...


My statement is Candid Steve Dii, i think today you are deliberately misunderstanding me... na kwa yule dogo anaji express umenipa a question mark where as iko clear kabisa...
 
Dah..Mkuu mimi hata mchuchu wangu hajui kama nina ID humu jf achilia mbali ya washkaji shortly hua sioni kama inamsaada wowote kwao kwa kufahamu kua mimi nami nimejiunga na JF labda tu nione m2 anamtazamo chanya hua natamani kuona akiutumia uelewa wake kwa kushare na wenzake kile anacho kielewa ,naeza kumtajia mitandao kadhaa huku nkijaribu kumcctiza kua kuna mtandao flani uko poa sana kama hata jali aucheck tu kwa kubonyeza www.jamiiforums.com na ikitokea kajiunga hua sina sababu ya kutaka kujua anatumia jina gani humu JF kikubwa tu awe amejiunga .Kifupi kwangu sifikirii kuitumia JF kama siraha kwangu.Ni mtazamo wangu tu.
 
My statement is Candid Steve Dii, i think today you are deliberately misunderstanding me... na kwa yule dogo anaji express umenipa a question mark where as iko clear kabisa...

Sozz... my bad! Gotcha! πŸ˜‰
 

Nimekupata kabisa Mkuu Criss!

Unajua hii inatumika kama silaha kwa wale tuliojuana nao humu humu ndani, na wale tunaojuana nao tangu zamani ila wanajua presence yetu nasi twajua yao na nickname zao... As much as nawalima kwa fito hii, hata hivyo sijawahi na sidhani kama nitakuja kufanya hivyo... it's all about being the winner in a convo! lol
 

Hahahahahah lol! nimecheka sana Steve...sijawahi kufikiria kitu kama hicho wala kutishiwa hivyo ila JF kiboko watu mpaka wananywea wanapotishiwa kuanzishiwa sredi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…