Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimekupata kabisa Mkuu Criss!
Unajua hii inatumika kama silaha kwa wale tuliojuana nao humu humu ndani, na wale tunaojuana nao tangu zamani ila wanajua presence yetu nasi twajua yao na nickname zao... As much as nawalima kwa fito hii, hata hivyo sijawahi na sidhani kama nitakuja kufanya hivyo... it's all about being the winner in a convo! lol
hahaha!huwa ninaitumia sana hii na wale ninaowaambia nao huwa wananitishia the same,,,
he he he he wifi mi uliniweza,si umeona zile post za kimapenzi nimeacha?l.o.l:A S-rose:
Steve Dii....umenipa namna ya kuwatishia watu.....!!!
Lazima unywee mkuuHahahahahah lol! nimecheka sana Steve...sijawahi kufikiria kitu kama hicho wala kutishiwa hivyo ila JF kiboko watu mpaka wananywea wanapotishiwa kuanzishiwa sredi.