Oyaa usichukulie poa poa hawa Wamaasai ni zaidi ya Wakinga kwenye kusaka mtonyo

Oyaa usichukulie poa poa hawa Wamaasai ni zaidi ya Wakinga kwenye kusaka mtonyo

Chief Wingia

JF-Expert Member
Joined
Jul 12, 2013
Posts
2,653
Reaction score
4,744
➡️Habari zenu wakuu
Nafahamu kwenye pitapita zako umeshawahi kukutana na hawa jamaa
Screenshot_20230701_211352.jpg


➡️Ipo hivi jamaa walianzia life huko interior kazi kubwa ikiwa ufugaji yaani kuuza mifugo na mazao yatokanayo na mifugo.
DOlk2zAW4AAhuz4.jpg


➡️Life likasonga ila wazee wa mila wakasanuka ikabidi kuitisha kikao na kuwasanua Morani wasikae kizembe bush watoke na kwenda town kusaka chapaa💵💰
Manyara.JPG

➡️Kundi la kwanza laingia mjini, hawa ni vijana waliopata moto wa mafanikio mioyoni mwao wakaona isiweshida wakajikusanya na wakaingia town rasmi kama walinzi.
Masai.JPG

➡️Kundi hili la walinzi japo lilikuja kwa lengo la kuwa walinzi ila pia walijitahidi kuangaza fursa nyingine zilizopo town na kuwataarifu ndugu na jamaa zao kuwa kuna mishe ya kuuza dawa asili na mapambo ya kimasai.
➡️Sasa hapa ndio ikawa ni hekaheka town wale Moran wasiokuwa mitaji ila wanaujuzi wa kusuka wakatafuta kazi ya ususi kama ni mwenyeji mjini utakuwa unakumbuka ile style za kusuka kimasai.
masaaibc.jpg

➡️Asikwambie mtu jamaa walivyoona mjini kuzuri na jamaa waliokotown full kutuma mihela na kununua ng'ombe kila mwezi huko bush aisee wazee nao tena kina mama na kina baba nao hawakubaki nyuma wakaingia town sema hawa kwakuwa hawauwezi mwendo kama lile kundi la vijana wao hufungua goli sehemu na life goes on.
DSCN3161.JPG


➡️Nimalizie hoja yangu kuwa hawa jamaa ni zaidi ya Wakinga maana wanajua kumake yaani huwezi mkuta maasai wa hivi akila hovyohovyo, jamaa wahapangi chumba wanalala kwenye malindo ya jamaa zao, jamaa hawalipi ushuru wala kodi yoyote ya biashara yake.
Wasaalam🙏.
 
niliwahi kukutana na mmasai kapiga rubega yuko na kishikwambi na unyunyu wa kutosha kuuliza nikambiwa unaona ile prado pale nje ni huyu jamaa
 
Siku hizi mashuka wanavaa wakiwa wanauza sendo zao tuu, wakimaliza kazi jioni wanapiga salawili kama kawa tunakutana nao bar. mbaya zaidi wameanza kununua malaya na wao mila desturi tupa kule.
 
Hapa Dar WANAFANYA vizuri.

Kulinda.
Kuuza Dawa.
Kusuka NYWELE.
Kushona sendoz.


ZANZIBAR NIMESIKIA HABARI MBAYA SANA KUHUSU HAWA JAMAA.
NASIKIA WANAUME NDIO WAMEKUWA CHAKULA YA WAZUNGU.
 
Hapa Dar WANAFANYA vizuri.

Kulinda.
Kuuza Dawa.
Kusuka NYWELE.
Kushona sendoz.


ZANZIBAR NIMESIKIA HABARI MBAYA SANA KUHUSU HAWA JAMAA.
NASIKIA WANAUME NDIO WAMEKUWA CHAKULA YA WAZUNGU
.
Oohooo....! Fedheha hivi 👆
 
Back
Top Bottom