Mikocheni kuna kakipande kuanzia palm village kuja Namanga ni kama upo YiuWachina watawaondoa wote
Vungunguti Bora panunuliwe tu pajengeke kisasa manaa Ile taswira ya nyumba na Miata mmhhh!!Huku vingunguti sahivi watu wameanza kununua vijumba vya watu na kujenga mijengo ya maana. Sahivi ukitaka kiwanja karibu na mjini njoo ununue nyumba vingunguti na kiwalani. After 10 yrs hupati kijumba Cha kununua huku.
Ni kweli lakini imetoweka, ila tofauti na sinza au tabata 😁Hio peace of mind imetoweka. Kuna clubs na bar ambazo zina kelele na kuleta crowds zenye makelele. Usiku ni sauti za magari na pikipiki zikishindana.
"hari mpya, nguvu mpya na ksai mpya"Na hili la kubadili Masaki na Obay kuwa eneo la biashara lilishamiri awamu ya JK. Mkapa aliwauzia hizi nyumba kwa masharti hakuna kuuza wala kubadili matumizi kwa miaka 25.
Yeah kumechangamka tu ila Masaki na Obay zitabaki juu miaka nenda rudi.Ni kweli lakini imetoweka, ila tofauti na sinza au tabata 😁
Hivi ile sheria ya kuuza nyumba ya asante mkapaNa hili la kubadili Masaki na Obay kuwa eneo la biashara lilishamiri awamu ya JK. Mkapa aliwauzia hizi nyumba kwa masharti hakuna kuuza wala kubadili matumizi kwa miaka 25.
Sheria ipo. Ila watu waliuza hata miaka mitano haijapita. Ila miaka ishapita sasa hivi.Hivi ile sheria ya kuuza nyumba ya asante mkapa
After 22 yrs bado ipo
Ova
Sasa mtu ana eneo la thamani ya bln 5 ,kastaafuNa hili la kubadili Masaki na Obay kuwa eneo la biashara lilishamiri awamu ya JK. Mkapa aliwauzia hizi nyumba kwa masharti hakuna kuuza wala kubadili matumizi kwa miaka 25.
Na watu wanafikiri obay watu wanahamishwa mpk kinondoni hizi prime areaSheria ipo. Ila watu waliuza hata miaka mitano haijapita. Ila miaka ishapita sasa hivi.
Shida sio kuuza. Shida ni kubadili matumizi na kuondoka hadhi ya Masaki na Obay kutoka Posh area hadi kuwa kama Sinza na Tabata.Sasa mtu ana eneo la thamani ya bln 5 ,kastaafu
Anatokea mtu anampandia dau ana muhamisha kwann akatae
Awapishe wenye kisu wafanye yao,yale mambo una nyumba huko unalia njaa una fuga ngombe maziwa yashapitwa
Ova
Mnajengewa apartments huko sasa kutakuwa full mighorofa 😄Shida sio kuuza. Shida ni kubadili matumizi na kuondoka hadhi ya Masaki na Obay kutoka Posh area hadi kuwa kama Sinza na Tabata.
Dar es salaam yote ni Uswahilini tangu zamani.
Kama ni kuhamishwa waswahili, imeanza kitambo sana Gerezani na Kariakoo mwishoni mwa 90's enzi hizo nyumba inauzwa kwa 100mil kwa wahindi au waarabu kabla wakinga hawajaingia mjini, familia inagawana kila mtu anasepa kivyake.Na watu wanafikiri obay watu wanahamishwa mpk kinondoni hizi prime area
Kama nyuma ya mango mafele au kino bwawani ,blok 41 watu wanahamishwa waswahili
Wanaondolewa kwa,pesa
Ova
Sasa hivi ndio waendesha bodaboda wanaishi kibeberu huko !Kama ni kuhamishwa waswahili, imeanza kitambo sana Gerezani na Kariakoo mwishoni mwa 90's enzi hizo nyumba inauzwa kwa 100mil kwa wahindi au waarabu kabla wakinga hawajaingia mjini, familia inagawana kila mtu anasepa kivyake.