Ndiyo hivyo sahv wenye nguvu nao wanakuja kuwahamisha waswahili nyumba za mirathi maeneo ya kinondoni nkKama ni kuhamishwa waswahili, imeanza kitambo sana Gerezani na Kariakoo mwishoni mwa 90's enzi hizo nyumba inauzwa kwa 100mil kwa wahindi au waarabu kabla wakinga hawajaingia mjini, familia inagawana kila mtu anasepa kivyake.
Wanaishi kibeberu una maanisha wanaishi kama mbuzi au kuna eneo linaitwa Kibeberu?Sasa hivi ndio waendesha bodaboda wanaishi kibeberu huko !
Mimi naona suala la maendeleo na ustaarabu sio asili yetu
Haiwezekani kila kitu ni shagalabagala tuu hakuna kwenye unafuu
Kiswahili kinakua sana siku hiziWanaishi kibeberu una maanisha wanaishi kama mbuzi au kuna eneo linaitwa Kibeberu?
Cc binti kiziwi
Mpaka vibao vya mitaa vina majina ya ki china.Mikocheni kuna kakipande kuanzia palm village kuja Namanga ni kama upo Yiu
Wenye akili hawakuuza, waliingia mkataba wa leasehold, na ukiisha majengo yote ya kwako.Sasa mtu ana eneo la thamani ya bln 5 ,kastaafu
Anatokea mtu anampandia dau ana muhamisha kwann akatae
Awapishe wenye kisu wafanye yao,yale mambo una nyumba huko unalia njaa una fuga ngombe maziwa yashapitwa
Ova
Ntachelewa sana ku-move on kwenye hili suala 😂😭Wanaishi kibeberu una maanisha wanaishi kama mbuzi au kuna eneo linaitwa Kibeberu?
Cc binti kiziwi
😂😂😂Mikocheni kuna kakipande kuanzia palm village kuja Namanga ni kama upo Yiu
Kasema kwa mujibu wa sensa🤣🤣Kuna watu huwa wanaona wao watabaki kwenye huo umri milele 🤣🤣 unawezaje kusema mtu wa miaka 60 amefikia umri wa kufa
Miji hutanuka Kwa namna hiyo. Pembezini mwa Dar kunashamiri sana sababu wahamiaji ni wengiNdiyo hivyo sahv wenye nguvu nao wanakuja kuwahamisha waswahili nyumba za mirathi maeneo ya kinondoni nk
Na ndy mabadiliko hujaga sasa,wale wakataouza wataenda zao chanika hko chamazi,mmbande huko
Ova
"Kibeberu" ni sehemu huko DAr es salaam, Gongo la Mboto, duh, pole mwanawane!Wanaishi kibeberu una maanisha wanaishi kama mbuzi au kuna eneo linaitwa Kibeberu?
Cc binti kiziwi
Jimbo gani la marekaniTatizo linaanzia kwenye lugha!
Kwa nini sehemu iitwe ‘uswahilini’?
Na kinyume chake hapo ni ‘uzunguni’.
Halafu, tukiacha hizo dosari za lugha, ukweli ni kwamba nchi nzima ni ‘uswahilini’.
Watu hata kupaka tu deodorant, hawawezi.
Harufu za vikwapa kila sehemu. Si wa Masaki wala Mivinjeni.
Wote ni mwendo wa vikwapa tu.
Nchi yenye GDP chini ya dola bilioni 200, hiyo ni nchi ya ‘Kiswahili swahili’ tu………whatever that means.
Nchi ya watu takriban milioni 70 ina GDP ya chini ya dola bilioni 200 huku jimbo moja tu la Marekani lenye watu milioni 11 lina GDP ya dola trilioni moja!
Let that sink in…….
GA.Jimbo gani la marekani
Arkansas.Jimbo gani la marekani
Naona sasaivi Oysterbay na masaki kwasasa imeamia uko Bunju,Mmbweni uko sasa ndipo unapoipata ile iliyokuwa masaki kipindi icho ukienda unakutana na wazungu na watoto wa kishuaOysterbay sasa hivi kiwanja kimoja kinakatwa mara nne hadi tano.
Oysterbay kiwanja acre moja ilikuwa ni nyumba moja sasa hivi kiwanja acre moja kunajengwa apartment 200.
MBWENI NI NEW YORK, huwezi fananisha na uswahilini MASAKI.Naona sasaivi Oysterbay na masaki kwasasa imeamia uko Bunju,Mmbweni uko sasa ndipo unapoipata ile iliyokuwa masaki kipindi icho ukienda unakutana na wazungu na watoto wa kishua