OZ " The name on the Street for the Oswald Maximum penetentiary"

OZ " The name on the Street for the Oswald Maximum penetentiary"

Kuna mchina mmoja alikuajaga katikat pale akawa na baifu sana na O'Reilly... Mchina alikua anapiga ngumi kinoma af ana mdomo sana
 
Kuna bifu na Omar white na tim mcmanamus... Jamaa alikua anajitahidi sana kumpenda Omar white na kumpa cancelling ila mwana akikula vitu vyake anamchenjia Tim kinoma
 
Katka series zote sjaifuta OZ

Wahuni ni wengi mule noma sana back to 1999
 
Back
Top Bottom