Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 20,694
- 32,527
Tayari sasa p Diddy ameshayaaga mashindano. Huwa nawaonea huruma sana wale watu ambao hupenda kujiita majina ya watu ambao ni celebrities bila kujua huyo mtu ni wa aina gani.
Kuna kipindi wale watu waliokua wanajiona wajanja sana miaka ile ya 2008-2010 walikuwa Wanapenda kujiita Scofield. Kumbe mwamba nae alishaleft group kitambo sana, ile ilikua movie tu.
Kuna siku nilikua sehemu fulani hivi nikakutana na kadada flani hivi kakawa kananiambia kanampenda sana yule msanii mdada mfupi mwanamuziki wa kutoka A Town, anasema yule ni role model wake, mara sijui mpole, mara anapenda life style yake bila kujua kuwa huyu mwanadada nae ameleft kwenye group lao kitambo sana na amekua lesbian kwa miaka mingi mno.
Muwe waangalifu mnapochagua role models, iwe wa kiume au wa kike. Poleni sana mliojiita diddy
==
Kujua ukweli wa taarifa hii soma NADHARIA - P Diddy anashiriki mapenzi ya jinsia moja