Ivan Stepanov
JF-Expert Member
- Apr 22, 2023
- 6,799
- 22,209
Nakazia mkuu..Hamnaga pesa nyingi namna ile za bure bure tu eti kisaa umeingia studio ukatoka..Hamnaga pesa ya bure mjini
NB
Sijui kama hao ni mashoga.Huko sipo ila hamna pesa za bure
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakazia mkuu..Hamnaga pesa nyingi namna ile za bure bure tu eti kisaa umeingia studio ukatoka..Hamnaga pesa ya bure mjini
nyie mnajifanya matapeli, sisi wenyewe ma playerMtaolewa tu. Muda ni mwalimu mzuri sana!
Tumia code tuwajueKuna dem juzi kanipa orodha ya wasanii wa bongo walio left group...nimebaki mdomo wazi najiuliza sijui kwel au uongo
Eti nililia sana .ujinga tuYule fala Scofield alichonikera anamwita yule choko mwenzake "my husband",dah nililia sana ile siku, sikula chochote kwa siku tatu nikisali rozali kuomba mama bikira maria afanye kile nilichokiona kuwa ni ndoto tu.
Ila haikubadilika kitu, yule mbwa Scofield akabakia kuwa shoga. Nilimia sana hadi leo bado naumia jamaa aliusaliti uanaume kwa namna mbaya sana.
Una umri we dogo[emoji23][emoji23][emoji23]Yule fala Scofield alichonikera anamwita yule choko mwenzake "my husband",dah nililia sana ile siku, sikula chochote kwa siku tatu nikisali rozali kuomba mama bikira maria afanye kile nilichokiona kuwa ni ndoto tu.
Ila haikubadilika kitu, yule mbwa Scofield akabakia kuwa shoga. Nilimia sana hadi leo bado naumia jamaa aliusaliti uanaume kwa namna mbaya sana.
Sio kila unacho soma mitandaoni unakiamini kama kilivyoZamani nilijua mashoga ni wale baby face sura za kike na miili miteketeke kumbe siku hizi hata wenye misuli kama kina P didy kalio gumu kono gumu...duuuh ni bora kutoyasoma tuu haya mambo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] badala ufuatilie stahiki zako huko ustawi wa jamii ili upate fidia kwa matunzo ya mtoto sio wako, unataka kunifuatilia mie utawezaa??Wewe choko inapaswa tuanze kukufatilia vizuri unajishughulisha na nini, haiwezekani kila siku usiku mnene upo macho.
Tutafatilia kwa ukaribu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huyu DC kavurugwaa vibayaaa mnooo.[emoji13][emoji13] tuamke naye asubuhi huyu chingili
UhakikaaaaKweli au mnasingizia watu????
Wewe sio riziki, shubamit[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] badala ufuatilie stahiki zako huko ustawi wa jamii ili upate fidia kwa matunzo ya mtoto sio wako, unataka kunifuatilia mie utawezaa??
Files za kibaha zinakushinda, kutwaa kumuwaza mama zurii, na badoo utakufa kwa pressure mwaka huu. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] poleeeeee
Mtu kama wewe, Mtanzania wa kawaida una muda wa kufuatilia maisha binafsi ya mtu kama Diddy? Kwa manufaa ya nani? Kwanza alishaacha zamani sana kuitwa “P. Diddy”. Mtu kama Diddy anavyoishi maisha yake wewe Mwanaume mzima unawashwawashwa huko Kisarawe? Seriously? Acheni tabia za kisenge nyie.Tayari sasa p Diddy ameshayaaga mashindano. Huwa nawaonea huruma sana wale watu ambao hupenda kujiita majina ya watu ambao ni celebrities bila kujua huyo mtu ni wa aina gani.
Kuna kipindi wale watu waliokua wanajiona wajanja sana miaka ile ya 2008-2010 walikuwa Wanapenda kujiita Scofield. Kumbe mwamba nae alishaleft group kitambo sana, ile ilikua movie tu.
Kuna siku nilikua sehemu fulani hivi nikakutana na kadada flani hivi kakawa kananiambia kanampenda sana yule msanii mdada mfupi mwanamuziki wa kutoka A Town, anasema yule ni role model wake, mara sijui mpole, mara anapenda life style yake bila kujua kuwa huyu mwanadada nae ameleft kwenye group lao kitambo sana na amekua lesbian kwa miaka mingi mno.
Muwe waangalifu mnapochagua role models, iwe wa kiume au wa kike. Poleni sana mliojiita diddy
==
Kujua ukweli wa taarifa hii soma NADHARIA - P Diddy anashiriki mapenzi ya jinsia moja
Umeamua kumuwashia tanuriMtu kama wewe, Mtanzania wa kawaida una muda wa kufuatilia maisha binafsi ya mtu kama Diddy? Kwa manufaa ya nani? Kwanza alishaacha zamani sana kuitwa “P. Diddy”. Mtu kama Diddy anavyoishi maisha yake wewe Mwanaume mzima unawashwawashwa huko Kisarawe? Seriously? Acheni tabia za kisenge nyie.
Hii inaitwa reality check mkuu. Mwanume gani hadi unafuatilia maisha binafsi ya mtu kama Diddy ambaye anamsoma kwenye internet tu? Huyu atakuwa msenge baridi.Umeamua kumuwashia tanuri
Kumbe huyu jamaa ndio yule mchizi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] badala ufuatilie stahiki zako huko ustawi wa jamii ili upate fidia kwa matunzo ya mtoto sio wako, unataka kunifuatilia mie utawezaa??
Files za kibaha zinakushinda, kutwaa kumuwaza mama zurii, na badoo utakufa kwa pressure mwaka huu. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] poleeeeee