kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 13,778
- 14,214
Mwanamuziki wa Marekani, P Diddy amekumbwa na makosa mengi ya uhalifu dhidi ya binadamu ikiwemo sexual trafficking. Aliwasaidia baadhi ya watu kwa yeye kujifaidisha kwanza.
Tuna watu hapa Tanzania ambao wameibuka kiuchumi from no where ambao huenda wamepitia magumu ya P Diddy na wenzake wa aina hii.
Pia, Soma: P. Diddy na kesi ya unyanyasaji wa Kingono
Hapa Tanzania hakuna fununu za Watanzania wenzetu waliotendewa vibaya na huyu bwana ili sheria ichukue mkondo wake, walipwe kwa uonevu?