Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
This is a clear message to everyone. Kuna wengine walidhihaki mkuu wa nchi alivyoanguka. Nadhani km ni funzo soote tumeliona.
RIP
![]()
meneja wa bendi ya diamond musica international, perfect kagisa aka 'p diddy wa maimartha' amefariki dunia mara baada ya kuanguka gafla maeneo ya mnazi mmoja leo hii.
Hivi sasa mwili wa marehemu uko hospitali ya muhimbili kwa taaratibu zaidi za kimazishi kwa mujibu wa mtangazaji wa tbc1 tv benny kinyaiya.
R.i.p bro...
![]()
r.i.p kagisa
RIP P. Didypoleni sana wafiwa and rip
Aisee! acha kutumia pic za FB haziuhusiwi hapa, kwani inakupeleka moja kwa moja kwenye profile ya mtu unapo click pic
Nani kamuangusha???ndugu polen sana;yawezekana huyu akuwa amejitwika mzigo ...jk walimwahi akalikwepa haya mambo ya kuangushana jamani mpaka lini??mbona hivyo watanzania ama afya zetu tata