Fid Q hajawahi kukosea mkuuKuna ngoma yake inaitwa mvua inakuja ni balaa
Balozi,mimi mwenyewe,salu t,jcb,umbwa,etcwataje tuwaone
Acha utani mkuu unaamini ngosha ni mc no 1 duniani na ww au ndo tuseme uzalendoP anaijua vizur sana na anamujua ngosha vizur sana
Tatizo la ngosha hayuko original,mistari yake mingi anachukua kwenye mavitabu na pop culture ya mbele,kwa wasio soma vitabu na kuelewa muziki wa america ndo watapagawa naye,sisemi kuwa sio mkali,nmeanza kumsikiliza fid q enzi za huyu na yule iko kwenye top twenty ya bamiza,he is one of the best,lakini sio The best of allHuyo umbwa salu wote wanamukali ngosha kinoma afu wewe unaleta habar gan hapa
hapo kwenye red ungeandika shukuru sio shukuluYule mkali wa miondoko ya hip hop na producer namba moja aliyewahi kutamba kipindi cha nyuma p funk majan amedai fid q ndo mc namba moja dunian kote yaan hakuna zaid ya fid q
Wawili hao ambao tiari wamelekod ngoma ya pamoja iitwayo mvua dude kali ambalo mda wowote litaachiwa hewan linalosubiliwa na mashabiki kwa hamu na mali
Fid q naye alimushukulu sana majan na kumwambia yeye ana mchango mkubwa sana kwenye mziki wa bongo
Kwahiyo tukae tayali kulisubili dude kali ngoma hatari kwa jina la mvua muda wowote litaachiwa
Genius mwenyewe husoma vitabuTatizo la ngosha hayuko original,mistari yake mingi anachukua kwenye mavitabu na pop culture ya mbele,kwa wasio soma vitabu na kuelewa muziki wa america ndo watapagawa naye,sisemi kuwa sio mkali,nmeanza kumsikiliza fid q enzi za huyu na yule iko kwenye top twenty ya bamiza,he is one of the best,lakini sio The best of all
Watu mnakalili sana jay z mwenyewe mistari mingi anaichukua kwenye mavitabu nishaona clip ya video flan walikuwa wanachambua mistari yake na reference za vitabu japokuwa kuwa clip haikuwa inalenga kusema jay z ana copy ilikuwa inaongelea mambo mengine kuhusu jay z.Tatizo la ngosha hayuko original,mistari yake mingi anachukua kwenye mavitabu na pop culture ya mbele,kwa wasio soma vitabu na kuelewa muziki wa america ndo watapagawa naye,sisemi kuwa sio mkali,nmeanza kumsikiliza fid q enzi za huyu na yule iko kwenye top twenty ya bamiza,he is one of the best,lakini sio The best of all