P - Funk adai Fid Q ni MC namba moja duniani

P - Funk adai Fid Q ni MC namba moja duniani

Tatizo la ngosha hayuko original,mistari yake mingi anachukua kwenye mavitabu na pop culture ya mbele,kwa wasio soma vitabu na kuelewa muziki wa america ndo watapagawa naye,sisemi kuwa sio mkali,nmeanza kumsikiliza fid q enzi za huyu na yule iko kwenye top twenty ya bamiza,he is one of the best,lakini sio The best of all
Nikikwambia unitajie vitabu alivyokopi Fid yawezekana hauna, ok but wimbo wa JCB ule wa Arusha ameukopi kutoka kwa Jay Z
 
Yule mkali wa miondoko ya hip hop na producer namba moja aliyewahi kutamba kipindi cha nyuma P-funk majan amedai Fid q ndo mc namba moja dunian kote yaan hakuna zaid ya Fid q

Wawili hao ambao tayari wamerecord ngoma ya pamoja iitwayo mvua dude kali ambalo muda wowote litaachiwa hewan linalosubiliwa na mashabiki kwa hamu na mali. Fid q naye alimshukuru sana majan na kumwambia yeye ana mchango mkubwa sana kwenye mziki wa bongo

Kwa hiyo tukae tayali kulisubiri dude kali ngoma hatari kwa jina la mvua muda wowote litaachiwa
Aliyaongea hayo akiwa wapi?, anachambua mbegu za bangi?
 
Kiki! hyuy boya kama hatutengenezaaga hela kipindi kile baasi tenaa.
 
Vp kuhusu j cole,kendrick,tech 9ne,nas,pac,sarkodie wakina nyovest
 
Tatizo la ngosha hayuko original,mistari yake mingi anachukua kwenye mavitabu na pop culture ya mbele,kwa wasio soma vitabu na kuelewa muziki wa america ndo watapagawa naye,sisemi kuwa sio mkali,nmeanza kumsikiliza fid q enzi za huyu na yule iko kwenye top twenty ya bamiza,he is one of the best,lakini sio The best of all
Ngosha ni balaa chalii, na kama ni issue za vitabuni na kuiga madude ya mbele,mnukuu RIP Remmy Ongala ' .....muziki ni wa nani, muziki hauna mwenyewe'
 
Back
Top Bottom