Kurzweil
JF-Expert Member
- May 25, 2011
- 6,621
- 8,411
Nikikwambia unitajie vitabu alivyokopi Fid yawezekana hauna, ok but wimbo wa JCB ule wa Arusha ameukopi kutoka kwa Jay ZTatizo la ngosha hayuko original,mistari yake mingi anachukua kwenye mavitabu na pop culture ya mbele,kwa wasio soma vitabu na kuelewa muziki wa america ndo watapagawa naye,sisemi kuwa sio mkali,nmeanza kumsikiliza fid q enzi za huyu na yule iko kwenye top twenty ya bamiza,he is one of the best,lakini sio The best of all