P - Funk adai Fid Q ni MC namba moja duniani

Farid namuelewa sana uandakaji wa mashairi sijamuona mwengine ila kama tujuzane wakuu.
ila jamaa ukiwa kilaza mwanzo mwisho humuelewi nini kawakilisha kwa hadhira inahitaji akili nyingi kumuelewa fid q.
Ingekua mbele basi fid ni jigga au kendrik
Madogo wa chuga hawapend kusikia hiz habar hata hapa huwez waona
 
Genius mwenyewe husoma vitabu
Sijakataa,ila kuna vigezo vingi vya kufanya Mc awe bora,ikiwemo uandishi na delivery kwenye delivery hapa swala la flow linahusika,sasa msanii midondoko yako kila siku ileile tu inachosha,lazima uwe versatile,kwa maoni yangu mimi fid bado anaflow za kizamani sana
 
Bas sawa tutalifanyia kaz wazo lako
 
Naona unataka hip hop ya bangi bangi kama ya chuga
 
Kuna ile nyimbo yake kwenye chorus yupo na AY,anakwambia maisha yakienda kombo yaache usende nayo
 
Sasa mkuu utaandika mistari ya Hip Hop bila kusoma vitabu?!

Hata Tupac Alimsoma Makavel.

Kama usomi vitabu na kujifunza utaandika mistari mepesi kama Ney wa Mitego.
 
Labda Majani alivuta sana mpaka kichwa kikawa kidogo, yaani ile Kijitonyama ye akaona ndio Dunia yote
 

Haya ni maoni yako yanatakiwa yaheshimiwe lakini nashangaa wewe kupinga maoni ya wengine.
 
Haya ni maoni yako yanatakiwa yaheshimiwe lakini nashangaa wewe kupinga maoni ya wengine.
Wala sheikh,sijapinga ya wengine,hili ni jukwaa la burudani kwahyo hata comments nazo ni zakiburudaniburudani,Ngosha anaweza akawa ama asiwe mc bora kuliko wote ndo tunajaribu kujadili hapa
 

sikiliza 'neno' akiwa na lord eyez afu useme ni kizamani au kileo
 
I can name five mcs better than him

Acha utani mkuu unaamini ngosha ni mc no 1 duniani na ww au ndo tuseme uzalendo


WENGI MLIBEBWA MGONGONI HAMUWEZI JUA UMBALI WA SAFARI
 
Fid mbona yuko flexible mkuu msikilize wa huyu na yule na fid wa roho utaniambia
 
Huyo Eminem mwenyewe Anasoma vitabu sasa wanataka fid asisome vitabu katika hip-hop knowledge ni muhim Sana
 
WENGI MLIBEBWA MGONGONI HAMUWEZI JUA UMBALI WA SAFARI
Msimpe sifa hasizostahili mnampoteza ukweli ni kuwa Fid ni mkali lakini mmemzidishia sifa ambazo anasagari ndefu kuzifikia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…