Huo utakua ni uongoI can name five mcs better than him
Very good nimekuelewa mwana wane1. Wabongo wengi wana concept kuwa wazungu au watu wa nje ya Africa siku zote ni bora kuliko wao..So kwa sababu hao kina kendrick wana exposure ya dunia nzima ndo mtu anahisi hawezi kupambanishwa na msanii kutoka bongo...Huu ni utaahira wa watanzania wengi sana...Siku zote kuona vya nje ni bora kuliko vyao
2. Wengi hawaelewi nini maana ya sanaa..Angekuwa Fid Q anachukua mashairi kutoka katika vitabu vya mashairi hapo ingekuwa tatizo..Japo siku zote watu wakiambiwa wataje hivyo vitabu hakuna anayetaja...But hata kama vipo bado ni sanaa kubwa sana kuweza kutoa ujumbe katika hali ya kitabu na kuiweka katika mashairi yenye vina vya maana...
3. Sio lazima msanii awe wa kimataifa na akubalike nje ya Tanzania ili awe bora...Suala la exposure linahusisha vitu vingi sana zaidi ya kipaji cha msanii mwenyewe...Vingi sana...yani inawezekana ubora wa msanii ukachangia 50% or less...But ishu za connections, marketing na fitna fitna inabidi ziwepo sana kumuuza msanii nje ya Tanzania au nje ya Africa...
Majani anaweza kuwa sahihi kwa mtazamo wake, kwa vipimo vyake alivyotumia...hizi issue huwa ni relative...Haimaanishi lazima wote tukubaliane naye
mkuu chukua LUSE moja bili kwanguFarid namuelewa sana uandakaji wa mashairi sijamuona mwengine ila kama tujuzane wakuu.
ila jamaa ukiwa kilaza mwanzo mwisho humuelewi nini kawakilisha kwa hadhira inahitaji akili nyingi kumuelewa fid q.
Ingekua mbele basi fid ni jigga au kendrik
Watu mnakalili sana jay z mwenyewe mistari mingi anaichukua kwenye mavitabu nishaona clip ya video flan walikuwa wanachambua mistari yake na reference za vitabu japokuwa kuwa clip haikuwa inalenga kusema jay z ana copy ilikuwa inaongelea mambo mengine kuhusu jay z.
hebu nipe mistari 10 ambayo fid katoa kwenye vitabu na uonyeshe ni vitabu gani..
Na sioni tatizo mtu kuchukua mistari ya busara kutoka kwenye vitabu alivyosoma maana kusoma ni kuongeza maarifa
Hakuna mc anaye invent new education zaidi ya ku utilize available one from different sources books and internet being one of them. ...ref nassir Jones aka NAS ....I can.Tatizo la ngosha hayuko original,mistari yake mingi anachukua kwenye mavitabu na pop culture ya mbele,kwa wasio soma vitabu na kuelewa muziki wa america ndo watapagawa naye,sisemi kuwa sio mkali,nmeanza kumsikiliza fid q enzi za huyu na yule iko kwenye top twenty ya bamiza,he is one of the best,lakini sio The best of all
Ingekuwa mbele jigga hatii maguu. ...fid ni lyricist...level za kina nas big and Pac...kina talib kweli canibusFarid namuelewa sana uandakaji wa mashairi sijamuona mwengine ila kama tujuzane wakuu.
ila jamaa ukiwa kilaza mwanzo mwisho humuelewi nini kawakilisha kwa hadhira inahitaji akili nyingi kumuelewa fid q.
Ingekua mbele basi fid ni jigga au kendrik
Fid Q...kwa mfano ,Watu mnakalili sana jay z mwenyewe mistari mingi anaichukua kwenye mavitabu nishaona clip ya video flan walikuwa wanachambua mistari yake na reference za vitabu japokuwa kuwa clip haikuwa inalenga kusema jay z ana copy ilikuwa inaongelea mambo mengine kuhusu jay z.
hebu nipe mistari 10 ambayo fid katoa kwenye vitabu na uonyeshe ni vitabu gani..
Na sioni tatizo mtu kuchukua mistari ya busara kutoka kwenye vitabu alivyosoma maana kusoma ni kuongeza maarifa
Darasa bado sana....bado aisee.PF FUNK aache bange.Namba moja ni DARASA
Umemsahau Chiku ketoBalozi,mimi mwenyewe,salu t,jcb,umbwa,etc
Bonta umemhesabu?Huyo umbwa salu wote wanamukali ngosha kinoma afu wewe unaleta habar gan hapa