P - Funk adai Fid Q ni MC namba moja duniani

Sijawahi kusikia show ya fid q tofauti na fiesta, mziki wake unauza wapi
 
Aina ya uandishi wa farheed ni wa kipekee sana duniani hauukuti taifa lingine zaidi ya Tanzania( kutumia lugha ya picha) na kwa hapa bongo vijana wanaofanya hip hop km95% wamekuwa inspired na huyu jamaa hivo wanaandika kama yeye mpk kuna wakati nadhani wanampa headache coZ watoto wanaandika kuliko yeye
 
Hebu weka link ya hiyo clip, au taja mstari mmoja tu unaoukumbuka kuwa Jay-Z ka-copy kutoka kwenye kitabu.
Mimi siyo mtu wa kukariri lyrics za nyimbo.. hiyo clip nilikuwa nayo 2011 huko kipindi niko chuo sina sasa apart from kusoma vitatu na kichukua mistari pia alishawahi kitumia mostari ya notorious B.I.G.
so sioni tatizo fid q kusoma vitatu akaweza kudeliver msg via mziki
 
Inawezekana siyo kitabu cha darasa la sita kwakuwa aliyegundua mchanganyiko huo siyo muandishi wa hicho kitabu cha la 6 na 7.
Hiyo kanuni iko kwenye plenty of sources na ni elimu ya kawaida kusema kuongelea hilo swala kacopy haimake sense.
Kusema mtu pia kacopy kuhusu kuenea mashahiri yake kama mashahidi wa yehovana mnara wa ulinzi sioni alipo copy bali kaandika mistari inayoleta lugha ya picha maana ni dhahiri mashahidi wa yehova wana juhudi sana katika kusambaza majarida yao yenye neno kwa jina la mnara wa ulinzi.
sasa hapo ka copy nini au kutumia mashahidi wa yehova na neno mnara wa ulinzi.
basi kama kigezo ni hicho kila mtu ana copy maana kila neno unalotumia hukulianzisha wewe
 
Farid namuelewa sana uandakaji wa mashairi sijamuona mwengine ila kama tujuzane wakuu.
ila jamaa ukiwa kilaza mwanzo mwisho humuelewi nini kawakilisha kwa hadhira inahitaji akili nyingi kumuelewa fid q.
Ingekua mbele basi fid ni jigga au kendrik

okay, halafu mashairi yanamwingizia sh ngapi?

kama haja connect na local community ambao hata nyimbo yake moja hawaijui..na hawawezi kuhudhuria show yake hata kama ni bure, ame miss target
 

Usipende kutoa tuhuma au mifano bila ushahidi then. Hoja inakosa nguvu.
 
Usipende kutoa tuhuma au mifano bila ushahidi then. Hoja inakosa nguvu.
Nakwambia kitu kilicho wazi na wala siyo tuhuma na wala kwenye hiyo clip haikuwa clip ya kujadili jay z kuchukua lines kadhaa kwenye vitabu maana msomi yoyote na mtu aliye well informed lazima awe na reference ya vitabu.
kuhusu kutumia baadhi ya lines za B.I.G mbona yeye mwenyewe alushatoa ufafanuzi kuwa anataka jina la B.I.G libaki hai ila ingekuwa bongo mngeanza mshambulia kama fid q.
nipe mistari hata kumi fid q aliyo copy toka vitabuni
 

Mbona unajichanganya sasa? Mwanzo umesema uliona clip kuhusu Jay-Z ku-copy kwenye vitabu, saivi unasema hiyo clip haikuhusu Jay-Z ku-copy kwenye vitabu. Inakuwaje unazungumzia usichoelewa wala kukifahamu?

Halafu wapi nimesema kuwa Fid Q ana-copy kwenye vitabu, au hata kumzungumzia?? Mi naulizia tuhuma ulizotoa kuhusu Jay, kama shabiki wake, hayo mengine wala sijajihusisha.

"Usomi na umakini", see the irony?
 
Rudia kusoma post yangu ya kwanza kabisa wewe ndiye umesoma hukufika mwisho sijui umeishia njiani.
toka post hiyo nimesema mbona hata jay z hucopy mistari kutoka kwenye vitabu nilikuwa na clip ya video jamaa alikuwa ana refer baadhi ya mistari ya jay z na vitabu alipoitoa nikaongeza kuwa japo clip yenyewe haikuwa na lengo la kuonyesha jay z kuwa uwa ana copy ila ilikuwa inaongelea mambo mengine kuhusu jay z. Rudia usome usiwe unaishia katikati
 
Unataka abane pua ndio awe ana flow kisasa??
 
Ni mkali sana fid ila alinichekeshaalipojaribu kuwa fat joe kwenye all way up. Yaan beat ilimshinda had huruma makosa yake baadae yalifutwa na diamond plutinum aliiimudu beat had nikataman aache kubana pua awe rapa tu. Fid ni best mc in East Afrika lakin kwa dunia bado maana hata afrika tu kuna chalii mmoja jina Reece kuna M tee jaman hawa viumbe wanamzika fid
 
okay, halafu mashairi yanamwingizia sh ngapi?

kama haja connect na local community ambao hata nyimbo yake moja hawaijui..na hawawezi kuhudhuria show yake hata kama ni bure, ame miss target

keyword ni ''MC MKALI'' mkuu!
shilingi zinazoingizwa ni topic mpya bruv
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…