P funk again on Clouds FM VS Mangair (Video)

Kila anayefulia analaumu Clouds. Ndo mtindo wa kisasa huo.
hahahahaha..mkuu hata mie nafikiria kuilaumu clouds...inawezekana "nikatoka"...
ila kikubwa P funk ndio mwizi namba moja...muulizeni nani anachukua hela za mauzo ya album ya ngwea na wasanii wengine..maana album nyingi za "hao" wanalala sasa "master"anazo yeye...anachukua hela hadi za ringtone.. Nyani Ngabu
 
Last edited by a moderator:

vidampa wa ruge mshashiba kilichobak ni kutema ushuz ukwel lazima usemwe hta km unauma kias gan clouds mengi zaid yatakuja
 
Last edited by a moderator:
Vita vya maneno inaendelea

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
viherehere wa luge lazma watajitaid kumsafisha fisadi wao,lkn mwaka huu lazma kieleweke
 
Kila anayefulia analaumu Clouds. Ndo mtindo wa kisasa huo.
Hata mimi inanishangaza,inaonyesha watu walivyo na akili mgando,kwani Kusaga amekuwa Mungu kiasi cha kuwafanya wasanii wakose riziki zao,mbona wakiwa juu hatuwasikii kumlaumu Kusaga,bali awakianza kuporomoka ndio utasikia wakiaanza kupaza sauti hadi mapovu yanawatoka kwa kumlaumu Kusaga,au Kusaga ndio ufunguo wa wasanii ?akifunga mlango ndio unakuwa mwisho wa msanii?mi siamini hivyo kuna njia nyingi za kufanikiwa kwa wasanii bila ya kumtegemea Kusaga.Wasanii wanashindwa kufikiria jinsi ya kujinyanyua wenyewe ,nimechoka na mikelele ya kulalama kila siku kila siku Kusaga,Kusaga!
 
P tupo pamoja atutokuangusha MDACHI COUNTS US IN TO PERISHED AWAY THE BIN.
 

nikisema viwango vya kufikiri vinatofautiana utaona kama unatukanwa.
Ila wewe umekomaa kuanzia kwenye shingo kushuka chini,na sio kwenda juu
 
88.5 ninyi ni mashwaini!...Vinega!..

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…