Mlachake
JF-Expert Member
- Oct 13, 2009
- 4,437
- 4,618
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahahahaha..mkuu hata mie nafikiria kuilaumu clouds...inawezekana "nikatoka"...Kila anayefulia analaumu Clouds. Ndo mtindo wa kisasa huo.
hahahahaha..mkuu hata
mie nafikiria kuilaumu clouds...inawezekana "nikatoka"...
ila kikubwa P funk ndio mwizi namba moja...muulizeni nani anachukua hela
za mauzo ya album ya ngwea na wasanii wengine..maana album nyingi za
"hao" wanalala sasa "master"anazo yeye...anachukua hela hadi za
ringtone.. Nyani Ngabu
Hata mimi inanishangaza,inaonyesha watu walivyo na akili mgando,kwani Kusaga amekuwa Mungu kiasi cha kuwafanya wasanii wakose riziki zao,mbona wakiwa juu hatuwasikii kumlaumu Kusaga,bali awakianza kuporomoka ndio utasikia wakiaanza kupaza sauti hadi mapovu yanawatoka kwa kumlaumu Kusaga,au Kusaga ndio ufunguo wa wasanii ?akifunga mlango ndio unakuwa mwisho wa msanii?mi siamini hivyo kuna njia nyingi za kufanikiwa kwa wasanii bila ya kumtegemea Kusaga.Wasanii wanashindwa kufikiria jinsi ya kujinyanyua wenyewe ,nimechoka na mikelele ya kulalama kila siku kila siku Kusaga,Kusaga!Kila anayefulia analaumu Clouds. Ndo mtindo wa kisasa huo.
Kila anayefulia analaumu Clouds. Ndo mtindo wa kisasa huo.
Hata mimi inanishangaza,inaonyesha watu walivyo na akili mgando,kwani Kusaga amekuwa Mungu kiasi cha kuwafanya wasanii wakose riziki zao,mbona wakiwa juu hatuwasikii kumlaumu Kusaga,bali awakianza kuporomoka ndio utasikia wakiaanza kupaza sauti hadi mapovu yanawatoka kwa kumlaumu Kusaga,au Kusaga ndio ufunguo wa wasanii ?akifunga mlango ndio unakuwa mwisho wa msanii?mi siamini hivyo kuna njia nyingi za kufanikiwa kwa wasanii bila ya kumtegemea Kusaga.Wasanii wanashindwa kufikiria jinsi ya kujinyanyua wenyewe ,nimechoka na mikelele ya kulalama kila siku kila siku Kusaga,Kusaga!
hahahahaha..mkuu hata mie nafikiria kuilaumu clouds...inawezekana "nikatoka"...
ila kikubwa P funk ndio mwizi namba moja...muulizeni nani anachukua hela za mauzo ya album ya ngwea na wasanii wengine..maana album nyingi za "hao" wanalala sasa "master"anazo yeye...anachukua hela hadi za ringtone.. Nyani Ngabu
nikisema viwango vya kufikiri vinatofautiana utaona kama unatukanwa.
Ila wewe umekomaa kuanzia kwenye shingo kushuka chini,na sio kwenda juu
Kwanin hawalaum times fm?