P Funk amshukia Master Jay kwa kumdiss Harmorapa, asema hatakiwi aongee chochote

Naona na pfunk siku hizi amekuwa mtu wa kujibu jibu mambo madogo na kutafuta kiki...
Kweli hii ni awamu ya kiki na kutafuta kuongelewa
 
Hivi John Walker unaweza kumfananisha na Harmorapa? Huyu Majani mbona anazeeka vibaya
 
Harmorapa nowdayz hana jipya akavue kambale huko....
 
Huyu hamorapa ananini huyu dogo mpaka majani anamkubali?
 
Master Jay amezoea wasanii wa kike awavue chupi ndio maana ndoa ilimshinda huyu jamaa, kwani Shaa wake anakipaji au ana lazimisha tu.
 
Ila kwa shaa naamini hana kipaji sema ndio kajiajiri kwa muziki. Shaa kabebwa sana na media kupigwa miziki yake hana kitu
 
Huyu Master J anajifanya ye ndio anajua kila kitu. Akumbuke huu sio mwaka 90 maisha yamebadirika sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…