Easymutant
R I P
- Jun 3, 2010
- 2,564
- 1,133
Mambo matatu kwa sasa nchini
(1) Shigongo na Ruge hali tata
(2)Bunge na serikali hali tata
(3)P funk na Master J hali tete
(4) Bashite na wananchi hali tete
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mambo matatu kwa sasa nchini
(1) Shigongo na Ruge hali tata
(2)Bunge na serikali hali tata
(3)P funk na Master J hali tete
Ndukulusudikucho, natokea Silali, matata na mucheso mi sitaki...Ndugu sulukuchu.. Rudia tena sulukuchu... Hahahahah enzi hizo kaka walker ni fireee
wewe unataka kusema nini sasaHuyu hamorapa ananini huyu dogo mpaka majani anamkubali?
Huwa majani ni mtu wa dharau sana nashangaa kwa huyu dogo anamkubaliwewe unataka kusema nini sasa