P Funk amshukia Master Jay kwa kumdiss Harmorapa, asema hatakiwi aongee chochote

P Funk amshukia Master Jay kwa kumdiss Harmorapa, asema hatakiwi aongee chochote

Johnny Sack

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2017
Posts
8,984
Reaction score
19,288
Producer mkongwe P Funk amemjibu Master Jay baada ya kusema msanii wake hana kipaji, Majani amesema Master Jay hatakiwi aongee kwa kuwa alikuwa akimletea wasanii wabovu na P funk kuwapotezea akitolea mfano wa msanii Ndugu Sulukuchu asiyejua hata kuongea kiswahili na John walker ambaye alikuwa ana kipaji cha kuigiza ulevi na sio kuimba
Amesema Harmorapa ni zaidi ya mwanamuziki kwani pia ni mburudishaji, na kusema hata Juma Nature alikuwa akipondwa alivyomchukua lakini akaja kuwa msanii mkubwa

 
[HASHTAG]#harmorapa4betawards2017[/HASHTAG]
 
Kuna kipindi alisema hata kwa 10ml Hamorapa hawezi kurekodi kwake, au ndio zilikuwa promo hizo.
 
Hahahahaha nimecheka sana ndg Sulukudugukuchu ana accent ya kijaluo hivi!
 
Ndugu sulukuchu.. Rudia tena sulukuchu... Hahahahah enzi hizo kaka walker ni fireee
 
Tafuta kiki ujulikane...saa zingine ukishakuwa nyani mzee unakuwa unavunga tuu ukitaka ukae on front page za hawa yellow journalists itaku cost at last...
 
P na Master wamecheza wote kombolela hao.. Wanajuana..
 
Back
Top Bottom