P-FUNK amuunga mkono Lady-Jay Dee mapambano dhidi ya wanyonyaji wa wasanii

TIQO

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2011
Posts
13,786
Reaction score
2,095
[h=4]
Producer mwenye historia kubwa na ya kipekee katika muziki wa Bongo Fleva P-Funk Majani ameonesha kumuunga mkono Lady JayDee na kwamba anadhani ni muda sasa wengine wakafuata nyayo zake, yeye mwenyewe majani amemhakikishia Jide kuwa yuko nae “Count Me in”.Ameongeza kuwa endapo wasanii na watayarishaji wa muziki wakiungana hakuna kitakachowazua isipokuwa Mungu
[/h] [h=4]Hizi ni Tweet za P-FUnk Majani za May 4:
@JideJaydee I think its really high time others follow in ur Footsteps!! Count Me in!
[/h]

 
Big up majani.wameiba sana ni mda muafaka wa kusema basi.
 
hawa clouds wawe makini sana,naona wamelewa sana mpaka wanajisahau,dharau walioonyeshwa juzi wasanii wa bongofleva,wasanii wangekuwa na akili wangejifunza kitu na kuchukua hatua kama wanajia...huu upepo hautapita ivi ivi chukueni maneno yangu.
 
That's movement zinahitajika mtaa,wasanii msiwe wanyonge sana sababu nyie ndo mabosi sema hamjielewi..ts time waungane kuukataa udhalimu!! Mazishi yanakuja sio mida,kaeni mkao wa kula....

It will reach a time the oppressed will unite and grab what u steal from them,u oppressers!! The time is now,support kwa Jide!!
 
Klaudiz imekuwaje tena
Ila kwa Sauda Karoli walihamisha
 
Huyo P Funk wakati anaongea hayo alikuwa ameshavuta Bangi ngapi? au alikuwa na msokoto mkononi?

Namshauri ajikite katika kumsaidia Mama yake kwenye mradi wa kufuga Prowns atatoka kimaisha, na yeye zama zake zimepita, aondoe kichefuchefu, au amesahau na yeye alivyokuwa ananyanyasa wasanii kwamba hawezi kurekodi na msanii ambaye siyo wa lebo yake? Watanzania kwa unafki tumepitiliza.

Hivi huyu Mvuta Bangi aliwahi hata kumtembelea Kajala jela?
 

Mpuuzi huyu! Yeye wakati ana Wannyanyasa hawa hawa Wasanii Alikuwa anajiona yupo peke yake........ Lkn kwa nini hawa watu Wanapofeli ndo Wanaibuka na hoja za Kunyonywa?
 
Mpuuzi huyu! Yeye wakati ana Wannyanyasa hawa hawa Wasanii Alikuwa anajiona yupo peke yake........ Lkn kwa nini hawa watu Wanapofeli ndo Wanaibuka na hoja za Kunyonywa?
Ila huyu ni wa kumsamehe bure, wenzake Ganja zilitupa misimamo lakini huyu zinamtia uchizi tu, ajikite kwenye miradi ya mama yake ya ufugaji Prowns huku kwenye Muziki kama hakupata huko nyuma hawezi kupata tena.
 

usipende kukurupuka kama matapishi ya kibogoyo ukiwa mfatiliaji wa muziki utagundua kuwa ushindani ulikuepo kati ya MAJANI,RAP MASTER,MIKA MWAMBA ili waweze kuendana sawa na ushindani ndipo walipoleta RECORDS LEBO na si kwamba hili ilikua kwa P peke ake bali ata MJ NA MIKA Watu ambao wamefanya hadi leo CLOUDS INA EXIST BASI MAJANI MIONGONI MWAO REJEA MWAKA ULIOANZISHWA CLOUDS FM NA MWAKA AMBAO BONGO RECORDS ILIKUA INATAMBA SANA NDIPO ILIPOANZA BONGO RECORDS TOURS AMBAO ILIIBUA VIPAJI KAMA YA MANDOJO$DOMO KAYA ABT KAJALA ALIENDA KUMWONA
 
Kwanza futa mimate yako na mapovu, P Funk ni mmoja ya watu waliouwa vipaji vya vijana kwa kuwakatalia kurecord kwake, sasa kama yeye alikuwa na Terms zake na Master Jay akawa na terms zake na Mika Mwamba akawa na Terms zake, sasa inakuwaje Terms za Ruge kwenu inakuwa ni tatizo? that's a question.

P Funk hana udhu wa kujifanya ana uchungu na vita hivi dhidi ya ukandamizaji, ninachokiona Ruge ndio mjanja pekee hapa mjini aliyeweza kukamata game ya muziki wa kizazi kipya licha ya kwamba hajui kuimba wala kucheza, he is successful Promota.

Kulikuwa na kina Mike Mhagama hapa enzi za Redio one inaazishwa kulikuwa na kipindi cha Rap na kikafutwa nakumbumbuka nilikutana na Too Proud a.k.a Mr 2 a.ka. Sugu pale BP alipokuwa gate Man alilaani vikali sana kitendo cha Redio one, lakini nashangaa kelele zote siku hizi ni Ruge na Clouds mbona zilikuwepo hizo redio na wameabandon kupromote wasanii?
 
The music industry is a dog-eat-dog business.

It is profit driven and not a philanthropic enterprise.

And it's like that pretty much everywhere except maybe in North Korea and Afghanistan.

Anybody remember what Snoop Dogg went through with Deathrow?

Try talking to Beanie Sigel about Jay Z and Damon Dash about the whole Rocafella outfit and see what he has to say.

Hearing Jay Dee talk about Ruge like he is a villain who treats people terribly flies in the face of everything that is fair and just downright reeks of hypocrisy.

Word on the street is that she herself doesn't treat her underlings all that well. Remember that Sam Machozi kid?

People who live in glass houses shouldn't be throwing stones at others.
 
Red ya kwanza nimeipenda mbwa kala mbwa, Fact

Red ya pili ongezea na Mesopotania

Red ya mwisho inamuhusu zaidi P Funk, amekaa kwenye nyumba ya vioo halafu anawarushia wenzanke mawe!!
 

We babu seya umemtembelea lini?
 
hapa jide pale necha,uku prof pembeni afande na wengine kibao wanakuja....tusubiri hii game itavyoishia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…