mr gentleman
JF-Expert Member
- Aug 1, 2012
- 3,222
- 4,689
Hapo kuna maswali zaidi ya majibu!!!
Kwanza futa mimate yako na mapovu, P Funk ni mmoja ya watu waliouwa vipaji vya vijana kwa kuwakatalia kurecord kwake, sasa kama yeye alikuwa na Terms zake na Master Jay akawa na terms zake na Mika Mwamba akawa na Terms zake, sasa inakuwaje Terms za Ruge kwenu inakuwa ni tatizo? that's a question.
P Funk hana udhu wa kujifanya ana uchungu na vita hivi dhidi ya ukandamizaji, ninachokiona Ruge ndio mjanja pekee hapa mjini aliyeweza kukamata game ya muziki wa kizazi kipya licha ya kwamba hajui kuimba wala kucheza, he is successful Promota.
Kulikuwa na kina Mike Mhagama hapa enzi za Redio one inaazishwa kulikuwa na kipindi cha Rap na kikafutwa nakumbumbuka nilikutana na Too Proud a.k.a Mr 2 a.ka. Sugu pale BP alipokuwa gate Man alilaani vikali sana kitendo cha Redio one, lakini nashangaa kelele zote siku hizi ni Ruge na Clouds mbona zilikuwepo hizo redio na wameabandon kupromote wasanii?
Huyo P Funk wakati anaongea hayo alikuwa ameshavuta Bangi ngapi? au alikuwa na msokoto mkononi?
Namshauri ajikite katika kumsaidia Mama yake kwenye mradi wa kufuga Prowns atatoka kimaisha, na yeye zama zake zimepita, aondoe kichefuchefu, au amesahau na yeye alivyokuwa ananyanyasa wasanii kwamba hawezi kurekodi na msanii ambaye siyo wa lebo yake? Watanzania kwa unafki tumepitiliza.
Hivi huyu Mvuta Bangi aliwahi hata kumtembelea Kajala jela?
Aliwanyanyasa sana wagosi wa kaya walipoenda studio kurecord kwamba eti yeye harikodi kwaya....akawarudisha na hela zao. Nyani haoni *****le. Kati ya watu walionyanyasa wasanii huyu ni mmoja wao.

Post yako kuhusu Roger na Madame Ritha umeifuta wewe?
siioni,nilitaka kukuuliza uliitoa wapi habari hiyo?
Sijafuta mimi wala hata sijapita huko.......
Haipo...lol
we ulitoa wapi hiyo habari? niko curious lol
Ze boss mbona hvo jamani, umenikaba koo
Nilitaka nifike bei kwa Ritha lo
huwezi jua why niko curious lol
basi ni pm ukiweza
Aliwanyanyasa sana wagosi wa kaya walipoenda studio kurecord kwamba eti yeye harikodi kwaya....akawarudisha na hela zao. Nyani haoni *****le. Kati ya watu walionyanyasa wasanii huyu ni mmoja wao.
maneno yako ni uhongo sababu hawa wagosi hawaimbi wanarap,toka lini rap tena ya kikabila ikafanana na kwaya??na Majani amerekodi nyimbo nyingi tu na wagosi ikiwemo kibaka kaokoka na nyingine nimesahau majina..alafu zama mbona mkoloni na pfunk ni washikaji sana toka kitambo kiasi alikuwa anamtumia sana pale bongo rekodi kumuingizia sauti mfano mihayo,vicheko,kutapika,scratch za mdomo n.k nyuma ya nyimbo..msipende kupotosha wale wasiofahamu aya mambo ili kufanikisha utetezi wenu kwa ruge.
nimewadharau sana wasanii wa bongo flavour ruge kawadharau sana,hawa clouds wawe makini sana,naona wamelewa sana mpaka wanajisahau,dharau walioonyeshwa juzi wasanii wa bongofleva,wasanii wangekuwa na akili wangejifunza kitu na kuchukua hatua kama wanajia...huu upepo hautapita ivi ivi chukueni maneno yangu.
We mimi Tanga kwetu, mwanzoni aliwasumbua sana kwenye wimbo wa Tanga kunani......mimi born nguvumali ati so huniambii kitu. Hiyo kauli aliisema kama ishara ya kuwadharau tu.....kila wakienda akawa anawapiga tarehe so kama kuna wimbo alirecord basi ni after usumbufu wa long. Naongea facts tu.