P-FUNK amuunga mkono Lady-Jay Dee mapambano dhidi ya wanyonyaji wa wasanii

Sikiliza wewe Pimbi unaona ni ujanja kubonyeza keyboard hapa na kuongea usenge mtumpu, sasa kama wewe unamjuwa P Funk muulize swali hili, mimi ndiyo Matola na huwa silembi,

Tumetoka na ndege moja mimi na P Funk kutoka Amstardam mpaka London after two days tulikuwa pamoja na Saigon na nilimpa live kuhusu jambo hili ila yeye mibange yake akawa anawaponda madogo chipukizi, inshort wewe hunijui ni bwegge tu hapa mjini ila hawa wote nyoko zao hawana tofauti yoyote hata Sugu tulimsapoti sana lakini ana tatizo kubwa sana la ubinafsi.

Kwa kifupi Mama yake P Funk ana project nzuri sana ya ufugaji Prowns namshauri mdogo wangu P Funk aelekeze nguvu zake huko kabla Mama yake ajamchenjia kibao maana Mama yake ni chizi kuliko huyo P Funk.
 
Waungane wote waitupilie klauds kuleeeeeeeee! Wamejigeuza miungu watu!
 
Waungane wote waitupilie klauds kuleeeeeeeee! Wamejigeuza miungu watu!
Mimi siifagilii Clouds hata chembe, lakini hawa wasanii hawajitambui na hilo halitotokea kamwe, take it from me.

Kwanza wangejiuliza kabla ya Clouds hapakuwa na Bongo Fleva? unakumbuka Kim & Boyz kwenye Yo Rap Bonanza?
 
JD alikubali tu anguko lake... asitafute mchawi ama ni stress za kukosa mtoto?
 
Kuna mwandishi maarufu hayati chinua achebe katika novel yake ya "A man of the people" akimuelezea character mmoja musimuliaji wa story ile Anasema "Josia has taken enough for the owner to see" hilo lilitokea baada ya josia kumunyanganya kipofu mmoja fimbo yake kwa ubwabwa. Kwa mfano huu its obvious that the Kusagaz have taken enough for the Jide's to see. Kilichompata josia ts wat i see coming for these TZ Josiaz.
 

haya bwana matola ila p angaza zingine kabisa
 
jibu hoja acha matusi we muhaya...P FUNK ameuwa vipi muziki wa BongoFleva???sio unaleta ushamba wako wa kihaya hapa eti ooh nilipanda na P ndege moja,sasa kama ulipanda nae ndege moja ndio nini??we umeona ishu sana iyo ya kuweka kwenye rekodi zako,acha kujichoresha mdogo wangu..wewe kama umeamua kumtetea muhaya mwenzio ruge,usifanye ivo kwa kumtungia uhongo majani.yani ayo maelezo kuhusu mama yake ndio ata sijamaliza kuyasoma sababu hayausiani kabisa na hoja ni kutaka kutuonyesha unamfahamu hadi mama yake which is out of mjadala..na weka kwenye rekodi na hii kuwa mimi sio ----- mi ni Big Fish hapa mjini kabla ata ujaja kutoka kwenu Kagera.
 
yani losers wameamua kusaidiana kuibuka tena?? ama kweli it is only in Tz
 
Wewe Pimbi tu, hasira za kutoswa viza usizihamishie kwangu. Loser.
 
Wewe Pimbi tu, hasira za kutoswa viza usizihamishie kwangu. Loser.


tumeanza kugongewa viza wewe upo kwenu Kaitaba...loser ni wewe usiyejua ata kusimamia principle zako sababu ya ukabila..
 

mwambie uyo boya anaeleza umaku mtupu
 
navyoipenda clouds fm kama line yangu ya tigo yanii toka mobitel,enzi za bure usiku dah hata iweje nimeshindwa kubadili line yangu maaana clouds ndio imeipa nafas nyingine bongo fleva hii haina ubishi
 
matola na gentlemen mnaoneshana ubabe kisa paul matheasse aka majani ila p kajitaidi sana jamani nakumbuka wasanii wengi walikua wanajazana pale kwake bamaga huku jay moe na nature ndio walikua wana asses wasanii wenzake p. kafanya mengi nakumbuka rais mkapa aliamua kuwaalika hadi ikulu akika p kafanya mambo mengi zingine ni mapungufu madogo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…