P-FUNK amuunga mkono Lady-Jay Dee mapambano dhidi ya wanyonyaji wa wasanii

P Funk anaheshima kubwa kwenye hili game

Clouds wanaenda kupotea safari hii,watch out!

Kila msanii amewachoka wamebaki wale walamba miguu wa THT na wale wakishtuka tu ru-gay hana chake
 
Producer anafanya kitu kitachomletea faida na kumtangaza hafanyi kaz na kila msanii,kwahiyo hata kama msanii anakuja na nyimbo haieleweki afanye tu kwasababu akimtosa ataonekana anaringa?

Fatilia sana muziki usisikilize maneno ya vijiweni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…