Inawezekana as p funk background yake sio choka mbaya, unajua shule amesoma IST, international school of tanganyika enzi hizo, je mnajua school fees ya ist ikoje? Tukiachana na hiyo mnajua kama baba yake ni mzungu ambao kina mange wanawawinda, music producers wa those days p funk and master jay ni watoto wa kishua sio hela za mziki, mnajua kama baba yake na master jay, mzee kimario alikuwa mkurugenzi tanesco miaka ya 90, so hawa watoto kina p funk, m jay, d money wa downtown record enzi hizo. Ni watoto wasiopanda daladala toka utotoni.. Na music walifanya for fun hadi ikawa business na trips za mtoni kwao ni kawaida sana, so kwa background hizo sio ishu kuvaa saa za usd 9000 as familia zinaruhusu, sasa kama mtu kasomeshwa IST, school fees per year zaidi ya million 10 atashindwa kuvaa saa ya bei hiyo, tufanye kazi jaman na sisi watoto wetu wa enjoy