Muuza Sura
JF-Expert Member
- Aug 1, 2011
- 1,985
- 1,352
Na Swiss Swatch utaifananisha na gari gani!!??....
Sasa Mercedes mbele ya Phantom Rolls Royce ina nini?
Ushawahi hata kuzisikia saa za Audemars Piguet wewe?
Gosh!
Mbona Samweli Etoo mwaka juzi aliwanunulia wacheza wa timu ya taifa ya Cameroon saa $9000ea x 35guys=????????????so why pfunk???
Kuna mwingine eti ana comment kwamba Obama hawezi vaa saa ya pesa hiyo.......bullshit!!Hivi kwa taifa kubwa kama marekani unategemea rais wake atavaa saa ya laki 200,000??????Gosh!!!!!
Saa ya nn mkononi wakati kwenye simu kuna saa?
Wewe una google watu wananunua!!!hiyo ndo tofauti!mimi nataka mashindano na wewe ya kumiliki saa kali siyo bla bla hapa jamvini!
mjini kuna mbwembwe humu! mtu unavaa saa ya bei kama iyo na bado watu hawashtuki kwa sababu hawajui thamani yake sasa kuna faida gani
Kama unavaa au unafanya kitu watu washtuke una kazi kubwa!
Kama unavaa au unafanya kitu watu washtuke una kazi kubwa!
we unadhani wanavaa ili iweje?
ndio ushangae bwana wakati watu wengine wanakufa na njaa, bongo bwana kazi kweli!!!!!!!!!!!!Duh!kumbe bongo watu wana pesa?maana hata obama havai saa yenye thaman hyo.
Kama hizi?
Inawezekana as p funk background yake sio choka mbaya, unajua shule amesoma IST, international school of tanganyika enzi hizo, je mnajua school fees ya ist ikoje? Tukiachana na hiyo mnajua kama baba yake ni mzungu ambao kina mange wanawawinda, music producers wa those days p funk and master jay ni watoto wa kishua sio hela za mziki, mnajua kama baba yake na master jay, mzee kimario alikuwa mkurugenzi tanesco miaka ya 90, so hawa watoto kina p funk, m jay, d money wa downtown record enzi hizo. Ni watoto wasiopanda daladala toka utotoni.. Na music walifanya for fun hadi ikawa business na trips za mtoni kwao ni kawaida sana, so kwa background hizo sio ishu kuvaa saa za usd 9000 as familia zinaruhusu, sasa kama mtu kasomeshwa IST, school fees per year zaidi ya million 10 atashindwa kuvaa saa ya bei hiyo, tufanye kazi jaman na sisi watoto wetu wa enjoy
Akichezesha taya na presenta wa nivarna,producer maarufu Pfunk alisema saa yake ina thamani ya pesa hyo,Uproducer unalipa au misifa tu!