Walikata rufaa na kesi inaendelea hakuna alielipwa.
kweli hamfatilii kesi...google tu rufaa ilikuwaje , utapata majibu.. kwenye rufaa ya tigo kina ay na mwana fa walishinda tena.. na mahakama kuu ikaamuru walipwe haraka . na ikawapa ruhusa ya kukamata mali za tigo zenye thamanai ya hizo bilioni mbili na milion 100... hapo tigo wakabanwa kisheria wakawalipa..
hela hazijifichi ndugu.. peleleza maisha ya mwana fa na ay tangu mwaka jana yakoje , ukilinganisha na miaka ya nyuma..
wamelipwa wote 2.1 bilioni