Walikata rufaa na kesi inaendelea hakuna alielipwa.
Tafuta hela za kutosha ila usipige nazo picha.
Nahisi kina AY na FA walishalipwa mabilioni na tigo,FA anapush Range Rover na pia AY kanunua nyumba Mamtoni(USA) ,Mabilioni waliyovuta tigo ni rahisi AY kununua nyumba maana nyumba za kule ukiwa na usd kuanzia laki 350 unapata nyumba nzuri sana even beach front.(Ukitaka kuthibitisha angalia Fine Living House Hunters utaona bei za nyumba).
Tanzania tu nyumba ndio bei ghari sana si umeona Diamond kanunua nyumba ya milioni 400 SA tena prime area lakini kwa bongo tu kiwanja cha 20 kwa 20 kariakoo karibia milioni 800.
Pia FA kaanzisha biashara ya Unyunyu FynByFalsafa.
Asante kwa ufafanuzi mkuukweli hamfatilii kesi...google tu rufaa ilikuwaje , utapata majibu.. kwenye rufaa ya tigo kina ay na mwana fa walishinda tena.. na mahakama kuu ikaamuru walipwe haraka . na ikawapa ruhusa ya kukamata mali za tigo zenye thamanai ya hizo bilioni mbili na milion 100... hapo tigo wakabanwa kisheria wakawalipa..
hela hazijifichi ndugu.. peleleza maisha ya mwana fa na ay tangu mwaka jana yakoje , ukilinganisha na miaka ya nyuma..
wamelipwa wote 2.1 bilioni
You are very stupid kufikiria hivyo. Wewe unafahamu P Funk amewatoa wasanii wangapi na walimlipa nini? P Funk alistahili kuwa producer tajiri kabisa TZ.. Anastahili kulipwa kila senti aliyolipwa. Bila producer kugonga beat msanii hawezi kupanda jukwaani kuimba acapella.Muanzisha thread analazimisha tu ili ionekane p funk akustahili kulipwa ile pesa ya beat ya nikusaidieje,na wasi wasi mtoa muanzisha hii atakua mh mbunge wa mikumi
Msando hawawezi kumpa ganji sawa anaweza kupewa labda 100 au 150 kina FA wakalamba Bii moja moja.......Ila msando alishashika hela kitambo akaitapakanya kwahiyo 150 au 100 kwake hamna kitu hawezi fanya fujo sana.hela haijifichi... watu wanafikiri mwana fa range rover kanunua kwa hela za mziki..
tigo wamewalipa hela zao.. mpaka msando amefanya fujo balaa za pesa..
bilioni 2.1 si mchezo.. watu watatu kugawana...
Ndio maana hauwezi kuwaona FA na AY kwenye tigofiesta hata wakiwa na hits songs.Pesa walishalipwa
Tigo walikata rufaa mwanzo waliposhindwa kesi lkn pia rufaa ikagonga mwamba
So walishalipwa mabilioni yao
Na mbona walishahojiwa wakakiri kulipwa lkn hawakutaka kuongelea zaidi
U r idiot,music wa kipindi kile sio sawa na sasa,na p funk alikua anawafanyia kama kishkaji,wasanii km wewe mh mbunge,j nature,ngwair n.k mlikua amlipii beat pale,hlf cha ajabu p funk alipoanza kupambana khs hatimiliki ya ile beat mzee ulimpuuza pale alipoanza kupata muelekeo ukaibuka,hapo ulipo leo p ana mchango mkubwa sana,sema ndio roho ya kiswahili tu,m 100 kwako kwa ss ni kitu kidogo sana but una kazi ya kupita mitandaoni kumchafua mshkaji aliekubeba!You are very stupid kufikiria hivyo. Wewe unafahamu P Funk amewatoa wasanii wangapi na walimlipa nini? P Funk alistahili kuwa producer tajiri kabisa TZ.. Anastahili kulipwa kila senti aliyolipwa. Bila producer kugonga beat msanii hawezi kupanda jukwaani kuimba acapella.
Biti unakodishwa kwa muda na Producer,duniani kote ipo hivyo na kama akitokea mtu au kampuni ikitaka kutumia biti lazima umuone producer.Ukiona prodyuza hausiki kwenye kesi ya beat ujue walishamalizana na msanii.
Prodyuza alishalipwa chake na beat ni Mali ya MSANII.
mfano laiza wa wcb Yule ameshamalizana na wcb kwa hyo zile beat ni Mali za wcb.
Yeye akishalipwa mshahara wake basi.
Aisee hili nakubaliana naloJAYJAY,
Hio labla imekuja siku hizi. Maproducer wengi na wasanii wengi Tanzania hawana elimu kubwa. Mwana FA ana masters ya Uingereza. Haikuwa kazi ngumu kwake kumzidi ujanja producer ambae hata Diploma hana.
Nilimsikia producer Kimambo juzi alikuwa anahojiwa Wasafi akasema yeye beat zake anauza hataki mambo ya hatimiliki ni mlolongo kufuatiria likitokea jambo!.Biti unakodishwa kwa muda na Producer,duniani kote ipo hivyo na kama akitokea mtu au kampuni ikitaka kutumia biti lazima umuone producer.
Ila sisi huku tunafanya vice versa,usela,kujuana na wasanii wanashindwa kuwaheshimu maproducer,wenyewe wasanii utawasikia "bila mimi wewe producer usingejulikana",wanasahau jamaa akitoa biti yake yy hana kitu.
Wasanii kila siku wanalalamika wanaibiwa wanasahau wao wanawaibia maproducer,unaweza ukakuta ktk kesi waliyo ifungua akina AY na FA wamemsahau Harm B kumpa mgao wake.
Wewe.kweli fala. Mimi ni Prof. Jay? Unajua kwanza kwa nini nimeanzisha thread hii!?U r idiot,music wa kipindi kile sio sawa na sasa,na p funk alikua anawafanyia kama kishkaji,wasanii km wewe mh mbunge,j nature,ngwair n.k mlikua amlipii beat pale,hlf cha ajabu p funk alipoanza kupambana khs hatimiliki ya ile beat mzee ulimpuuza pale alipoanza kupata muelekeo ukaibuka,hapo ulipo leo p ana mchango mkubwa sana,sema ndio roho ya kiswahili tu,m 100 kwako kwa ss ni kitu kidogo sana but una kazi ya kupita mitandaoni kumchafua mshkaji aliekubeba!
Sio story jamaa ana nyumba marekani na alivyooa alienda na demu wake kupumzika labda awe ametudanganya bwana AYSina hakika sana kama walilipwa mpunga mrefu kama ule...
FA na AY ni mabalozi wa Turkish Airlines, ndiyo maana hua unawaona wanapanda ndege hizo hizo tu wakiwa wanaenda mbele,huwezi wakuta wanapanda ndege nyingine tena First Class,.. Kuhusu AY kununua nyumba marekani hiyo ni story tu mkuu wangu. Sio rahisi kama tunavyodhani
Halafu kitu kibaya zaidi wasanii wakubwa wenye majina makubwa huwa hawalipui hata sh 10 wanarekodi for free ila maaunderground ndo wanalipishwa na producer ukidai ulipwe mtonyo mrefu wasanii wakubwa hawaji kurekodiNilimsikia producer Kimambo juzi alikuwa anahojiwa Wasafi akasema yeye beat zake anauza hataki mambo ya hatimiliki ni mlolongo kufuatiria likitokea jambo!.
Ni uvivu wa Maproducer wa Bongo unaowacost wenyewe!..
hela haijifichi... watu wanafikiri mwana fa range rover kanunua kwa hela za mziki..
tigo wamewalipa hela zao.. mpaka msando amefanya fujo balaa za pesa..
bilioni 2.1 si mchezo.. watu watatu kugawana...
Walishinda rufaa mara mbili..Walikata rufaa na kesi inaendelea hakuna alielipwa.
Pum.baf huwez kumuelewesha MTU kistaarabu hadi utumie kejeli gedemit wahedWalishinda rufaa mara mbili..
Huwa sipendagi sana mwanaume mzima unaongea kitu kisicho na uhakika..