P-funk 'majani' apata ajali mbaya akiwa chooni....apasuka kichwani na kushonwa nyuzi 12

P-funk 'majani' apata ajali mbaya akiwa chooni....apasuka kichwani na kushonwa nyuzi 12

wa juzi alikuwa cinema wanaangalia porno yeye akawa anapiga pull akavuta ni tofaut na uyo wa 2009 .acha ubishi ni watu wawil tofaut

tobaaaaaa!!
Ngoja nimuite watu8 atuwekee link
 
Last edited by a moderator:
Choo chenyewe kinaonesha kinateleza teleza.........!
 
tobaaaaaa!!
Ngoja nimuite watu8 atuwekee link

Besti huyo jamaa ni mbishi wala hatakuelewa, maana nami nilijaribu kumkumbusha na kumuwekea link akajifanya kama haoni hehehe!!!

Ni threads zinazofanana kila kitu sentensi kwa sentesi, neno kwa neno na kisa ni kile kile....kwa kuwa umeomba nikuwekee link nami nimefanya pasipo hiyana.

19th September 2009 01:14 by TANMO :

https://www.jamiiforums.com/mahusia...jichua-wakati-akiangalia-sinema-ya-ngono.html

Sosi ya mkuu TANMO ilikuwa ni kutoka kwenye hii link hapa chini:
Afariki Akijichua Wakati Akiangalia Sinema ya Ngono

4th November 2013 16:57 by Money Stunna :

https://www.jamiiforums.com/habari-...jichua-wakati-akiangalia-sinema-ya-ngono.html

Lakini huyu ndugu ingawaje hakuweka sosi ya habari yake, lakini kwa msimamo wake huo wa muda anaoamini kuwa tukio hili lilitokea...huenda alidanganywa na makanjanja kama hawa katika link hii hapa chini.

AFARIKI AKIJICHUA WAKATI AKIANGALIA SINEMA YA NGONO - Bongonews 24™
 
Last edited by a moderator:
Choo chenyewe kinaonesha kinateleza teleza.........!

Yani sio kinateleza ila ni kichaaaafu. Shame yani tiles zimegeuka rangi uchafu umekoomaa katikati ya tiles uwwiiiiii. Yani choo no sehemu ya raha kinapaswa kua safi kwelikweli sawa na jiko.
 
Yani sio kinateleza ila ni kichaaaafu. Shame yani tiles zimegeuka rangi uchafu umekoomaa katikati ya tiles uwwiiiiii. Yani choo no sehemu ya raha kinapaswa kua safi kwelikweli sawa na jiko.

Dah, hata mm nimekiona kichafu sana, huwa hawakisugui sijui.
 
alikuwa hajapata short, c unajua tena kitu ya A town haikopeshi?
 
ivi si anaitwa 'majani' aka 'mmea' huyu.
Sasa tunajadili nini!?
 
kila m2 choo kichafu, lete picha ya unacho2mia ww 2one, kama sio kidole kimoja kwake vitatu kwako!
 
Ukienda chooni unapoanza
kuchuchumaa flow ya damu kwenda kwenye ubongo kwa baadhi ya watu haiwi
nzuri hivo husababisha mtu kupatwa na kizunguzungu na wengine kuanguka
na kuzimia.

Ndo maana tunashauriwa kuchuchumaa wakati wa kukojoa
 
Back
Top Bottom