P Funk Majani apewe Degree ya heshima

data


Mkuu sidhani kama battle la namna hii kunakuwa na faida.......p funk atabaki kuwa p funk hila mtu ana mtazamo wake maana mawazo yangu na yako yapo tofauti sana.....changia mawazo yako watu watakubali kutokana na ulichochangia na dada nae hivyo hivyo watu watakubali kutokana na alichochangia.....battle za matusi hazina faida tofauti na battle za hoja
 
Last edited by a moderator:

Word of point!
 

una point...ila hujakua bado.
 
una point...ila hujakua bado.



Sawa mkuuu kama nimekua au sijakuwa cha msingi kuwepo kwa amani hapa Jf wengi wanatumia majina ambayo sio yao sasa unakuta mtu ambae unatukanana ni jirani yako halafu mnaishi kwa amani kabisa......cha msingi kuwepo kwa amani tu
 
data



mkuuu unajua unaofanya ni utoto tena usela wengine tumefanya shule ya msingi wakati nipo undergraduate pale Coet nilikuwa gudboy acha dharau mimi najua tena zaidi yako kama utaka nivae shati la usela la shule ya msingi unaweza kujidharau mwenyewe kuwa mstaraabu aiseeeeeeeeee
 
Last edited by a moderator:
Professional Sound Engineer from SAE Amsterdam Holland, nani asiyejua mchango Halfani tangia bado anasoma pale IST,Producer gani amewahi kuzunguka mikoani kusaka vipaji vya wasanii km si ile Bongo records tour iliowaibua akina Man dojo na Domo kaya, nani amewafanya tmk family wajulikane ? Je ni nani lebo yake imewai kuvunja rekodi ya ugali ya juma nature. Na pia Paul amefanya clouds kuhama kutoka kitega uchumi mpaka kujenga gorofa pale darajani.

Ni machache sana pia nakumbuka jamaa amewai kutoa gari lake liwabebe Y2K Walipokuja kufanya show bongo, Mdachi anastahili heshima sana , pia Jo Kimario MJ, MIKA MWAMBA, BONNY LUV,PROF LUDIGO,JOHN MAHUNDI,DUNGA NA wengine kitambo kile ambao tukiwa bado wadogo tuliona michango yao na pia REDIO 1,EATV,PIA CLOUDS FM ingawa baadae mawingu walianza unyonyaji. Kwa leo Am Out.
 

hha hahhaa hhaa enzi izo hakuna tomato, sipati foto.
 
Last edited by a moderator:

We jamaa we wala usiende mbali,tunaomba ukae hapa uendelee kutuelimisha juu ya historia ya bongo flava yetu..
Maana nimegundua watu wengi hapa hawafaham istoria halisi ya muzik wetu wa kizazi kipya.
Yaan hawajui nani ni nani!
Big up bro kwa kutukumbusha vyema na naomba utukumbushe zaidi.
 

Kwa jinsi ulivyoanzisha mada,mim nilidhani unaijua historia vizur ya bongo fleva,kwasasa napata wasiwasi kuhusu ww. Ndio maana ulikomaa kuhusu pfunk bila vina. Sasa umejua kuhusu mchango wake na wa hao wengne,still anastahili hyo heshima?! Hlo ndio swali unapaswaujiulize,na kuhusu hao wengne nao tuwape huo u- dr?!
 
utapewa degree bana wakati hata diploma hauna???

aanzie chini kwanza.. apewe cerificate kwanza,... akae street miaka mitatu.. then apewe diploma!!!

baada ya hapo sasa, tumfikirie kumganjia degree!!!!
 

Sikia wewe mbona ujichanganya juu ya maelezo yangu,kukubali maelezo ya mtu haina maana sijui nikisemacho.bali nakua na furaha kuona kumbe sipeke yangu anaefikir hivyo juu ya mada hii ya pfunk japo kuna watu wengi wanachallenge.

Sikiza wewe si kila unapotaka kutoa tuzo au heshima juu ya kukuvali kazi ya mtu fulani haimaanishi kua mtu aliechaguliwa ndio huyo pekkee ktk jamii hiyo bali kunakua na wengine wenye sifa hizo ila anachaguliwa mmoja katika hao.mf.anapo pewa tuzo kala Jeremiah kama mwana hiphop bora wa mwaka haimaanishi ndio mwana hiphop pekee ndani ya nchi yetu.

Pia sikusema wengine hawatambuliki,bali nilisema pfunk amechangia kwa kiasi kikubwa ambayo inatoa room kwa wengine kua nao wamechangia kuinua muziki huu,lakin kwa leo binafsi namchagua pfunk.

Historia ya muzik huu naifaham vizur sana kwa kua nami nimekuemo humo ndio maana hasa najua ninacho kiongea..

Soma kwa makini mkuu usiharakie kucomment kitu ambacho ujakielewa.

Hope we r good huuh!?
 
Sishangai watu kutuka na kutothamin michango ya watu coz bongo ndio asil yetu kutokubal michango ya wengine...watu na mjaj kwa bangi iv mbona obama alikua anakula gomba,vp bob,nk...uwez zungumza mbongo fleva bila kumtaja majan japo niwengi waliotoa mchango but majan kaplay part kubwa sn bila msahau m.j....KUNA TOFAUT KUBWA KAT BANGI NA PODA
 

Yeah,kina Prof. Ludigo, Marehemu Roy wa G records, na wengineo wengi tu mbona wamefanya makubwa na hamtaki kuwapa tuzo mpaka mkamuona Majani?
Ungemjua Blue, Matonya, Ali Kiba bila Roy?
Ungemjua Diamond bila Bob Junior? Japokuwa alianzia Bongo records?

"Nlikuwepo":bolt:
 
Kama sikosei mkuu Excel Producer Majani ana advance diploma Of Sound Engineering aliosomea huko Amsterdam Holland katika Chuo cha SAE na pia km sijakosea Elimu ya hizo certificate of both o and a level secondary kasoma pale IST . Hope i make it clear. Just for peace

utapewa degree bana wakati hata diploma hauna???

aanzie chini kwanza.. apewe cerificate kwanza,... akae street miaka mitatu.. then apewe diploma!!!

baada ya hapo sasa, tumfikirie kumganjia degree!!!!
 
Last edited by a moderator:

Peace tu mkuu..

actually, sizipendi degree wala doctorate za heshima! non profitable kabisa! kama vp aendelee na shule tu, kwani kuna shida hapo?
 
Well Said Comrade Excel

Peace tu mkuu..

actually, sizipendi degree wala doctorate za heshima! non profitable kabisa! kama vp aendelee na shule tu, kwani kuna shida hapo?
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…