P Funk Majani apewe Degree ya heshima

Well Said Comrade Excel

Peace tu mkuu..

actually, sizipendi degree wala doctorate za heshima! non profitable kabisa! kama vp aendelee na shule tu, kwani kuna shida hapo?
 
Last edited by a moderator:
Apewe heshima yake kwakweli, amefanya kazi kubwa sana.
 
Bily ww mkali unaijua vyema historia ya muzi wetu endelea ili wajue wasibishe wasicho kijua...salute


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Pfunk u great to me... Aise nikisikiliza vinanda vyako nakumiss sana, ebu mtafute mtu kama dimond, yong killer au ali kiba wapigigie vile vitu tena
 
ivi unajua sio kila nyimbo iliokua ikitoka bongo record ilitengeneZwa na p.funk....? kuna mikono ya vinanda vya bizman na midundo ya kunesanesa ya proffesor ludigo
 
ivi unajua sio kila nyimbo iliokua ikitoka bongo record ilitengeneZwa na p.funk....? kuna mikono ya vinanda vya bizman na midundo ya kunesanesa ya proffesor ludigo
 
Honestly speakin, tukiacha chuki na dharau pembeni. katika muziki wa bongo ambao wakina diamond, alikiba na wengne wanajivunia, basi p funk anamchango mkubwa sana mpaka muziki kufika hapa...! Mana huwezi kutoa heshima kwa watu kama kina sugu,prof j,ngwea, na wengne wengi bila kumtaja mtu aliekua anakesha usiku kucha kuwapikia midundo.
Mpeni heshima yake bhana.
 
Bongo fitina nyingi. Majani is and will always be the BEST. Best Music Producer, Best Sound Engineer in East and Central Africa. Truth will always prevail.
 
Jamaa mnafukunyua thread za nyuma kweli kweli. Aya bana jamaa sasa hivi kawa boss CMEA sidhani Kama ana hamu tena na kinanda .
 
Jamaa mnafukunyua thread za nyuma kweli kweli. Aya bana jamaa sasa hivi kawa boss CMEA sidhani Kama ana hamu tena na kinanda .
Nimesikia anataka kuirevive Bongo Records kivingine. Na ameanza mdogomdogo kwa kufanya Sound Engineering kwenye baadhi ya ngoma kama "Pesa ya Madafu" ya Jay Mo na nyinginezo. Tuombe Mungu BR irudi ili tuiweke Bongo flavour kwenye ramani tena.
 
Kuhusu kumpa degree hapana, labda tumpe tu udokta wa heshima.
 
huyu jamaa alikuwa anajua sema watu hawataki kukubali tu midundo ilikuwa ni mizito jamaa alisomea kabisa wakina laizer inabidi wajifunze
 
Tukipata vichwa viwili kama majani kwa. Sasa music industry italeta heshma zaid bongo
 
Hivi anaitwa majani sababu ya bangi au. Kama mnavuta pamoja nadhali hili wazo ni la kibangibangi. Hata kama kazi yake ni nzuri haigeuki degree. Pole zake.
Wala sio bange - Ulimbukeni wa Kidalesalaam
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…