Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bily ww mkali unaijua vyema historia ya muzi wetu endelea ili wajue wasibishe wasicho kijua...salute
Sent from my iPhone using JamiiForums
ivi unajua sio kila nyimbo iliokua ikitoka bongo record ilitengeneZwa na p.funk....? kuna mikono ya vinanda vya bizman na midundo ya kunesanesa ya proffesor ludigoNaomba niwashaur wana jf wenzangu kua tumpatieni huyu jamaa digrii ya heshima kutoka hapa jf.
Nadhani kila mtu anautambua mchango wake ktk tasnia ya mziki wa kizaz kipya hapa bongo,aisee jamaa ni mkareee hataree,ajira kibao kwa vijana wa kibongo imepatikana kupitia mziki ambao kwa kiasi kikubwa umechangiwa na p funk mpaka kufikia hapa ulipo sasa!
Ni wakati jamii ya jf tumtunukie heshima hii Na badala yake jina laje litakua ni DR.P FUNK MAJANI
Au mnasemaje wadau?

You guy! Nawe unajisifu kuwa unaujua muziki. Unajua maana ya Music Production? Unazifahamu roles za Producer? Acha uvivu soma!ivi unajua sio kila nyimbo iliokua ikitoka bongo record ilitengeneZwa na p.funk....? kuna mikono ya vinanda vya bizman na midundo ya kunesanesa ya proffesor ludigo
Bongo fitina nyingi. Majani is and will always be the BEST. Best Music Producer, Best Sound Engineer in East and Central Africa. Truth will always prevail.Honestly speakin, tukiacha chuki na dharau pembeni. katika muziki wa bongo ambao wakina diamond, alikiba na wengne wanajivunia, basi p funk anamchango mkubwa sana mpaka muziki kufika hapa...! Mana huwezi kutoa heshima kwa watu kama kina sugu,prof j,ngwea, na wengne wengi bila kumtaja mtu aliekua anakesha usiku kucha kuwapikia midundo.
Mpeni heshima yake bhana.
Nimesikia anataka kuirevive Bongo Records kivingine. Na ameanza mdogomdogo kwa kufanya Sound Engineering kwenye baadhi ya ngoma kama "Pesa ya Madafu" ya Jay Mo na nyinginezo. Tuombe Mungu BR irudi ili tuiweke Bongo flavour kwenye ramani tena.Jamaa mnafukunyua thread za nyuma kweli kweli. Aya bana jamaa sasa hivi kawa boss CMEA sidhani Kama ana hamu tena na kinanda .
Kuwa mteja mzuri wa yale majaniAmetoa mchango upi?
Wala sio bange - Ulimbukeni wa KidalesalaamHivi anaitwa majani sababu ya bangi au. Kama mnavuta pamoja nadhali hili wazo ni la kibangibangi. Hata kama kazi yake ni nzuri haigeuki degree. Pole zake.
Itakua Kitu cha Dar mpaka MoroDegree ya kitu cha Arusha au cha brazil