P Funk Majani apewe Degree ya heshima

P Funk Majani apewe Degree ya heshima

Mtoa post Hebu delete hii thread yako .....jaribu Kama utaweza?
 
Vijana wamepata uhakika wa maisha yao kupitia muziki mzuri wa kibongo ulio fanikiwa kwa msaada na mchango wa p funk...
Vijana gani mbona wasanii waliokuwa kwenye label yake zaidi ya 98% wameishia kwenye kuvuta unga na maisha magumu mitaani huku
 
kweli alistahili ila toka ajiite Majani kaharibu maana yote
 
Naomba niwashaur wana jf wenzangu kua tumpatieni huyu jamaa digrii ya heshima kutoka hapa jf.

Nadhani kila mtu anautambua mchango wake ktk tasnia ya mziki wa kizaz kipya hapa bongo,aisee jamaa ni mkareee hataree,ajira kibao kwa vijana wa kibongo imepatikana kupitia mziki ambao kwa kiasi kikubwa umechangiwa na p funk mpaka kufikia hapa ulipo sasa!

Ni wakati jamii ya jf tumtunukie heshima hii Na badala yake jina laje litakua ni DR.P FUNK MAJANI

Au mnasemaje wadau?
Kweli wa zamani sana huyu mtu, nilipen da alivyowatolea uvivu clouds fm kwani wananyonya sana haki za watu
 
Tatizo lako wewe ni kua Hujui unachokisimamia!
Not your fault mzee!
Okey kumbe umenisoma-kwahiyo hiyo Degree hii Mbona Kama ya ku force -
Mbona Naona Kama Muda Bado-
Mi nashangaa p funk na master jay wanavunga wame staafu - Mbona Bado Vijana
Then mnarudi kuomba PH.D.
Waambie warudi haraka kazini-
 
Kwa upande wako unadhani ni Producer yupi (so far) anayefaa kupewa heshima hiyo kwa kuifikisha Bongo flavour hapa ilipo?
 
Kwa upande wako unadhani ni Producer yupi (so far) anayefaa kupewa heshima hiyo kwa kuifikisha Bongo flavour hapa ilipo?
Uchambuzi unafanyika kwa makini kumbuka kuna mapinduzi Kama ya Duke na Tamaduni studios nyingine zimekufa zina hitaji kufufiwa kutokana na majina yamehifadhiwa na Katika majina ya washabiki- unawakumbuka Downtown Records - Ludigo -complex- na list ndefu zaidi
Bado HATUJA fafanua mapito yetu kwenye muziki na hii Ni kazi ya kina P funk
I'am tolking about moves-
 
Brother you don't have to roam around, jambo kama hili halihitaji uchambuzi...it's just a single click and you choose one. Aliyesimamisha bongo flavour kuwa hivi ilivyo na kuinspire vijana wengi kuingia katika hii industry, unamjua na unamkubali, tatizo roho yako inakinzana na mwili. Tujifunze kuappreciate hata vile tusivyovipenda.
 
Kwa bongo nazani watakao kuelewa ni wachache sana juu ya hilo swala ila tungekuwa kule kwa wenzentu angesha pewa ile wanaitaga life lime achievement award, sizani kama hata award za bongo kama huwa wana hizo category.
 
Back
Top Bottom