P-Funk Majani umeteleza kumshambulia binti yako kwenye radio, wewe ni sehemu ya tatizo

Paula ni binti atakayekuja kuwa na maisha mazuri Sana , probably ndo atakuwa nguzo kuu ya P-Funk majani, mwanao ni mwanao tuu, kama Baba lazima usimamie ubaba wako to the end...majani bado ana akili za kitoto...
nje ya uzuri hana future yoyote.....usinitajie fashion designer kama utataja hiyo nioneshe hata vazi moja alilowaho designing......angerudi shule naimani mama ake na baba ake wasingeshindwa kumtafutia connection ya kazi kwa viongoz
 
Sasa kama mtoto alimkana baba yake ulitarajia afanye nini?
 
Wewe ndio unachekesha. Kama una watoto huwezi kuchekelea yanayotokea kwa mtoto wa mtu mwingine sababu wako hujui atakuaje. Kila mzazi mwenye akili timamu anamuombea mwanae mema.
Mrs Vanboy bana 🤣
 
Sizani kama Aslay nae ni baba mzuri manake naye kazaa hovyo hovyo kila mtoto na mama yake (kama sikosei ana wanne) na huyo Tessy nae ni type zilezile za Kajala kazi yake ni kudanga,hapo ni kuomba Mungu tu aingilie kati.
Ninachompendea Tessy ni kimoja tu. Hajawahi kumsema vibaya Aslay wala hajawahi kuweka hadharani ugomvi wake na baba mtoto.
 
"Usitukane mamba kabla hujavuka mto". Majani kapuyanga halafu bado ana watoto wengine wadogo ambao hajui mbeleni kutakuaje. Mambo ya malezi hayana ujuaji. Wapo waliozaliwa familia za kidini na wamewehuka. Atakuja kukumbuka shuka kumeshakucha
True
 
Wakati wa kumlea mtoto alikuwa busy na mji akasahau mpaka ada zinalipwa na nani, majani alikuwa majani. Leo anajifanya yupo strict kwenye malezi.
Una hakika na hili mkuu? Mbona alisema alikuwa anatoa matunzo kama kawaida na kuna picha kadhaa yeye majani na kajala wakiwa wako na kajala shuleni nahisi alikuwa kidato cha kwanza
 
Majani ameliongea swala la mwanae na mzazi mwenzie kwa uelewa wa hali aliyopitia nao
Kuna mambo huwezi kuyaelewa mpaka uwe mwathirika wa jambo lenyewe
You won't understand until you become the victim
 
mchuma janga hula na wakwao wahenga walisema
mtoto mwenyewe hana hofu ya lupango ndo maana anajimwaga
na hofu aipate wapi kama mama yake mwenyewe alishakaa
 
Atembee naye mara ngapi sasa na wakati inasemekanika paula ndo wakwanza kuliwa
 
Na sio kama angefanikiwa kuwala mbona chats nliona kama anabembeleza waendeleze mama asiwe kigezo? Kwani alikuwa anatongoza upya
 
Ila majani yuko sexy jamani,sijui ni mimi tu?yaaani vile anaongea na ule ununda anasound sooooooo sexy
Sipendagi wanaume weupe ila majani ni [emoji91][emoji91]

Hata bure nampa dadeq!
Si umtafute tu umpe
 
Ila majani yuko sexy jamani,sijui ni mimi tu?yaaani vile anaongea na ule ununda anasound sooooooo sexy
Sipendagi wanaume weupe ila majani ni [emoji91][emoji91]

Hata bure nampa dadeq!

Lipo vizuri lihb hatareee
 
Sema huyu kajala dish linacheza aisee,uyu ndio chanzo mtoto kuharibika lawama asitupiwe majani. kuna single mother wengi tu wanalea watoto wao ktk maadili mazuri
Tatizo la majani ni kuongea upuuzi kwenye media. Ila tatizo la Paula ni mama yake kasababisha. Kajala hajitambui hata kidogo..sijui nini kimemfanya akaibukia uzeeni.
Huwezi fanya starehe za kipuuzi na binti yako na ukaona sawa kuzirusha mtandaoni. Paula angekuwa anafanya upuuzi peke yake tusingemlaumu kajala...
Ila inaonyesha wazi kuwa mama anafurahia umalaya wa mtoto wake.

Yaani hata hajifunzi kutokana na makosa yake anataka mtoto afate nyayo zake. Kajisemea mange kimambi... Paula ataishia kuwa kama wema sepetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…