P-Funk Majani umeteleza kumshambulia binti yako kwenye radio, wewe ni sehemu ya tatizo

Majani tumia busara kama baba, linapofika suala la binti yako wewe sio majani wewe ni baba. Kamwe baba huwa hasimami kuishambulia damu yake ni heri ungeendelea kukaa kimya.[emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
Paula ni binti atakayekuja kuwa na maisha mazuri Sana , probably ndo atakuwa nguzo kuu ya P-Funk majani, mwanao ni mwanao tuu, kama Baba lazima usimamie ubaba wako to the end...majani bado ana akili za kitoto...
Kesha mlaani..laana ikishika kitaumana
 
Ila majani yuko sexy jamani,sijui ni mimi tu?yaaani vile anaongea na ule ununda anasound sooooooo sexy
Sipendagi wanaume weupe ila majani ni πŸ”₯πŸ”₯

Hata bure nampa dadeq!
Yaani ni kwasababu tu nimejikomit kwa babu yako azawize ningejipitisha kwa Majani.
 
Ila majani yuko sexy jamani,sijui ni mimi tu?yaaani vile anaongea na ule ununda anasound sooooooo sexy
Sipendagi wanaume weupe ila majani ni [emoji91][emoji91]

Hata bure nampa dadeq!
[emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji3064]
 
Ila majani yuko sexy jamani,sijui ni mimi tu?yaaani vile anaongea na ule ununda anasound sooooooo sexy
Sipendagi wanaume weupe ila majani ni πŸ”₯πŸ”₯

Hata bure nampa dadeq!
Mi black npe bac na mimi😁
 
Mtot ashamkana dingi kuna haja gan ya kumfatilia
 
Tuliwaambia nyie Kenge wakati mpo busy kumshambulia Harmonize mnasahau kua anayeharibiwa future yake ni huyo binti,
Binti wa miaka 18 going 19 tayari ushakua na scandals za wamama wa miaka 40 unatarajia nini, huyo huyo binti aliwahi kusema "akinipenda mama yangu inatosha" eeh sasa huo ndio upendo anaoutaka sio upendo wa kubanwa banwa na kukaripiwa,

Kajala alionywa siku nyingi sana acha kumuweka huyo mtoto kwenye social medias kwa maana kumpost lakini alisema "my life, my rules"

Acha walimwengu tuendelee kutazama.
 
Mpaka sasahivi kwa yanayo endelea katika hiyo familia,binafsi namuonea huruma Paula tu.
 
Paula ni binti atakayekuja kuwa na maisha mazuri Sana , probably ndo atakuwa nguzo kuu ya P-Funk majani, mwanao ni mwanao tuu, kama Baba lazima usimamie ubaba wako to the end...majani bado ana akili za kitoto...

Maisha mazuri kwa lipi! Kucheza pono?[emoji2377]
 
Acha Kukurupuka!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…