Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Kwanini huyo Paula ameweka bendera ya Holland na Tanzania kwenye Instagram profile yake kama anadai Majani siyo baba yake? Kanajiona kazuri utadhani full half-caste kumbe Mbantu tu. Halafu katakuwa kafupi sana. Kama 5 feet 2 inches hivi.
She's extremely conceited because of her looks, just like you. bitch nigger bottom Nyani. But she ain't all that. And she looks pretty dumb too. Her IQ must be just below average.She’s taller than your little stanky midget ass.
What are you...like 4 “4 or something?
She's extremely conceited because of her looks, just like you. bitch nigger bottom Nyani. But she ain't all that. And she looks pretty dumb too. Her IQ must be just below average.
She’s taller than your little stanky midget ass.
What are you...like 4 “4 or something?
Umesikiliza interview lakini?Majani alikuwa anaenda na vibe la mtandao kasahau Paula ni mwanae no matter what. Mitandao kazi yao ni kushabikia habari.
Umesikiliza interview lakini?Majani alikuwa anaenda na vibe la mtandao kasahau Paula ni mwanae no matter what. Mitandao kazi yao ni kushabikia habari.
And what’s your IQ, Ms. Buttercup? I bet it’s in the lower single digits
Labda hujafuaatilia ndo maana unamtupia lawama bure!Majani anasema mtoto wake alimkataa, ila hasemi ilikuwaje wakafika hali hiyo.
Majani anasema kwenye radio kuwa mtoto wake kazaliwa na mama asiyestahili.
Majani anaitangazia dunia kwamba binti yake amelaanika.
Kwa mtu mwenye hekma na utulivu wa akili utagundua Baba pia ana tatizo kubwa kuliko mama anaetupiwa lawama zote.
Majani alishindwa kusimama kama baba wakati wa makuzi ya Paula leo unakuja kuutangazia umma kwamba damu yako imeshindikana.
Majani umeteleza ni heri ungeendelea kukaa kimya tunge assume una busara.
Ona sasa unalaumu binti yako na mama yake wanapeleka vitu mitandaoni, na wewe unafanya kile kile unatumia media kutoa hukumu kwa damu yako.
Siku Paula akirudi kwenye media kutolea ufafanuzi kauli zako utasema amekukosea heshima wakati umeendelea kumchafua??
Majani unaumizwa na mtoto wako kuvujisha videos, lakini uhoni tatizo la baba yake wa kufikia kumtongoza na kumtumia dudu analoliona mama yake. Majani uhoni kama ingekuwa fedhea sana kwako kama bwana angefanikiwa kuwala baby mama wako na binti yako?
Majani tumia busara kama baba, linapofika suala la binti yako wewe sio majani wewe ni baba. Kamwe baba huwa hasimami kuishambulia damu yake ni heri ungeendelea kukaa kimya.
Sijui kama mleta mada ni mzazi kwa kweliKaongea busara sana sema wewe hukumuelewa tu
Jamaa kilaza sana halafu anatembelea kule upepo unapoelekea......mi huwa namuambia mipasho peleka instaWe jamaa upande mwingine una logic ila tatizo hoja zako huwa sahihi upande mmoja tu ila wengine wanakosea.
Hivi kipindi kile Diamond anaenda kuongea kuhusu kumkana mtoto wa mobetto tena kwenye media uliona yupo sahihi? hukuona kama alimdhalilisha mtoto na mama wa mtoto? mbona hukukemea au hukuwa umejiunga JF?....Jitahidi uwe balanced.
Hivi kipindi diamond anamkataa mtoto tena kwenye nyimbo kabisa (nazani ni kwenye Fresh remix), ulikuwa wapi kuandika uzi wa namna hii?...Hebu kuwa balanced.
Sitaki kujua kama Majani yuko sahihi au sio sahihi..ila huna sifa ya kumkosoa tukifanya reference ya matukio ya nyuma ya Boss wako..Hivi majan kama angefanya ile interview neat fm bado ungekuja na hii thread??