P Funk na Master J wapewe maua yao lakini nao walichangia pia kuua mziki na vipaji vya wengi

P Funk na Master J wapewe maua yao lakini nao walichangia pia kuua mziki na vipaji vya wengi

NetMaster

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2022
Posts
1,454
Reaction score
4,925
343105719_1975183936147650_6797357473391830359_n.jpg


walichangia pia kuua mziki na vipaji vya wengi kwa kiwaringia na kunyanyasa wasanii chipukizi maana wkt huo kuonana na hao ni kama kuonana na rais na waliringa mno saabu wakikuwa wao tu, yaani ukigombana nao tu hata iwe sababu ya mademu unabaki ndio imeisha hio ama ukikaza basi ni options chache mnoo, kule kwa mzungu Mwamba kulikuwa na foleni si kitoto maana alikuwa anarudi sana kwao Finland na akirudi bongo tayari kuna wasanii wapo pending anashughulika na moja moja, Mtu kama Peacock wa Kikongwe ilimchukua miezi 6
 
P funk alikuwa anawafagilisha nyumba yao watoto wa kimaskini wakienda kuomba studio time.

Wengine aliwapiga sana na kuwaachia ulemavu.

Big up kwa Master J hukuwai wageuza watumwa wasanii wetu uliheshimu talent zao.
Mchaga anamheshimu sana mtu anae mpa pesa
 
Back
Top Bottom