Nucky Thompson
JF-Expert Member
- Sep 20, 2016
- 1,817
- 4,061
"Amekufanya" nini, mbona umepanic kiasi cha kushangaza hata na wengine tusiomjua tutake kujua?Hamorapa ni mtu wa hovyo hovyo.. Tena wa hovyo sana kuwahi kutokea kwenye tasnia ya mziki nchini...
Kama wewe ulivyokuwa mtu wa hovyo kuwahi kutokea Jamii ForumHamorapa ni mtu wa hovyo hovyo.. Tena wa hovyo sana kuwahi kutokea kwenye tasnia ya mziki nchini...
Hajamfikia mpiga tumba mmoja hivi mkazi wa Magogoni.Hamorapa ni mtu wa hovyo hovyo.. Tena wa hovyo sana kuwahi kutokea kwenye tasnia ya mziki nchini...
majani kweli ni majani